Hahaha mwenzako wanjala ashajua ukweli ww bado unalazmisha sukari kua chumvi😂😂Hata haiwezi host international game wacha usiku, hata mchana fifa watakataa...
Unajua (neno kubwa jinga)
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kuna kitu kinakuchanganya akili yako naona bado una ile akili ya critical beds kwamba ni ICU😂😂😂😂Ultra modern ndio huo mjengo kwhyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekasirika😂😂👐👐
Hii si ya kuelekea Chamwino Ikulu? Makao makuu ya JPM?
Yule kilaza wao amepotea toka mod wafute ule uzi wa copy and paste bila kufanya kautafiti 😂 😂 😂Naona kuna kitu kinakuchanganya akili yako naona bado una ile akili ya critical beds kwamba ni ICU😂😂😂😂
inawezekana kachapwa ban!Yule kilaza wao amepotea toka mod wafute ule uzi wa copy and paste bila kufanya kautafiti 😂 😂 😂
kipi cha ajabu hapoMkianza kupata barabara kama hizi mta lala kweli!?
View attachment 1408734View attachment 1408735
Mkijenga moja, twajenga kumi
View attachment 1408739View attachment 1408740View attachment 1408742
Wee vipi!?
Dodoma got them
Ebwanaeeee kama Titanic vileeeMV Victoria ikifanyiwa majaribio .
Mwezi hujao itaanza kwenda bukoba kupitia kemondo ikitokea MwanzaView attachment 1408831
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa ndo meli kubwa kuliko zote katika ziwa Victoria na inachukua abiria 1000 na tan 200 za mizigo.Ebwanaeeee kama Titanic vileee
Juu ya kuwa hapaUmekasirika😂😂👐👐
Slums za kibera,mukuru kwa njenga vp?Juu ya kuwa hapaView attachment 1409019
Hazijahama.Slums za kibera,mukuru kwa njenga vp?
Hazijahama.
Hata nyinyi naona hamjahama
Wakat huo huo huu ndio uchafu unaopatikana nairobi😂😂😂👇👇👇maendeleo madogo madogo kama haya ndo yatakuja kuwashangaza wazungu ‘enh walifikaje huku’?? .. the end will justify the mean
Wao bado wanaringia vya zamani, cc tuna vipya vingi sana, km alivyosema Simon juu hapo kwmb the end will justify the meanWakat huo huo huu ndio uchafu unaopatikana nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1409091