Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe subiri uone kamasi vile zitawatoka hapo bado hawajawalipa wenye ndege zao 37 [emoji23][emoji23] subiri usikie loss ya mwaka huu
Ndio sasa wanajua faida ya kununua ndege zao na hasara ya kuwa na ndege za kukodisha, wenye ndege wao hawajui kwamba kulikua na tatizo la Corona mkasimamisha biashara, kwao muamala lazima usome Kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe ndio maana nawaambia subirieni muone loss ya mwaka huu muisikilizie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ