Sahi wapo na shortage ya blood hospitalini alaf wanakuja hapa GDP kubwa 🤣🤣🤣🤣Wapi miradi mikubwa ya umwagiliaji ambayo ingesaidia Kenya kuachana na kuomba misaada ya chakula,
Wapi five stadia 😂😂😂
Haina tatizo kwasababu kama yameanzwa kujengwa kwenye hiyo strip ya Morocco to Bamaga basi hata nyuma ya hayo majengo kutafanyiwa maendeleo.
Sio bagamoyo port tu kumbuka na reli walikuwa wanafinace na kujenga wao.kama sio Magu kukataa kuwa corrupt, bado kidogo tu na sisi tufanyiwe haya kwenye mradi wa Bagamoyo Port
Mimi naishi maeneo hayo, nyuma yaHaina tatizo kwasababu kama yameanzwa kujengwa kwenye hiyo strip ya Morocco to Bamaga basi hata nyuma ya hayo majengo kutafanyiwa maendeleo.
Ni juhudi za serikali kuhakikisha kuwa hayo maeneo yanaboreshwa na ni kweli, hakuna mwenye uhakika ni lini serikali itafanya hivyo ila ujue kuwa ni afadhali sasa kuna real estate boom maeneo hayo na inawezekana wakazi wa hapo wakazidi kuboresha majengo yao.Mimi naishi maeneo hayo, nyuma ya
Jengo la acacia Kuna uswaz ya Mwananyamala sio leo Wala kesho patajengwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uswazi tu full stopNi juhudi za serikali kuhakikisha kuwa hayo maeneo yanaboreshwa na ni kweli, hakuna mwenye uhakika ni lini serikali itafanya hivyo ila ujue kuwa ni afadhali sasa kuna real estate boom maeneo hayo na inawezekana wakazi wa hapo wakazidi kuboresha majengo yao.
Na huwezi waona wakijadili vitu vya msingi kama hivi.Sahi wapo na shortage ya blood hospitalini alaf wanakuja hapa GDP kubwa 🤣🤣🤣🤣
Troll
Yn we kweli unashida, eneo liboreshwe kwa kujengwa barabara 8 lane af liendelee kuwa hvyo hvyo, nn maana ya serikali kufanya hivyo ssMimi naishi maeneo hayo, nyuma ya
Jengo la acacia Kuna uswaz ya Mwananyamala sio leo Wala kesho patajengwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91] [emoji91]