Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo dream house si mbaya,kwa sababu ni house,si vibanda,
Vibanda ndo iko mbaya, but dream house is better than hostel
So someone wants to tell me that living here

is better than living here

Mbona mnataka tufanane?
 

Attachments

  • 2-bedroom-master-ensuite-apartment-in-athi-river-5-848x566.jpg
    54.1 KB · Views: 17
  • nairobikenyaaerialviewcityscapeaffluentdistrict124297467.jpg
    289.4 KB · Views: 11
Kenya tuliamua civilisation......wale wa maisha ya kiswahili waendelee namna hiyo...lol.We are not boarding...."In Miguna's tone "
Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unatuletea mapovu ya wenye akili kama zako🤣🤣🤣🤣🤣
Mturuki anawapiga na kuwafukuza Kama wezi Nchi yenu na CCM imenyamaza tu zaidi ni kuwa wanawaleta waturuki wenzao kufanya kazi za Watanzania.
 
Kumbe the pictures mnaweka hapa ni za mahali moja different angles Alafu mnasema ni km100 za reli? Prove me wrong kwa kuweka picha za Kila station from Dar to 100km.

Tuta-ajiri [emoji23][emoji23][emoji23] wanaajiriwa kwa Twitter ama na Twitter??
[emoji3][emoji3]
 
Uhuru Kenyatta legacy issa scam…
School laptops scam
SGR scam
Eurobond scam
Galana Kulalu scam
Last mile connectivity scam
Security cameras scam
Dams scam
Container terminal scam
Huduma namba scam
Stawi loan app scam
Early oil export scam
Medical equip scam

what have I missed?
 
Tatizo asilimia kubwa ya wakenya hamuishi humo, hapo ndio watz wakasema bora kuishi kwenye dream houses kuliko kuishi [emoji116][emoji116]
 
Uhuru Kenyatta legacy issa scam…
School laptops scam
SGR scam
Eurobond scam
Galana Kulalu scam
Last mile connectivity scam
Security cameras scam
Dams scam
Container terminal scam
Huduma namba scam
Stawi loan app scam
Early oil export scam
Medical equip scam

what have I missed?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…