Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stations ni kweli nzr ila ilo dude linalotoka hapo ss [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1362114
LOL station zao hunichekesha jambo moja

Unaanzia kuzipanda chini kisha unaenda juu then unashuka chini kukamata mtambo wako wa komoni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yaani hiyo routine ni utafikiri unapunguza obesity ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
sijui kwann hii imenitokea.. ni kwamba baada ya kuona picha za SGR ya Tanzania, haya mastations makubwa ya kenya SGR nimeyaona hayana mvuto tena [emoji23][emoji23]
Stations zetu ni portable zenye tija zinazozingatia maeneo tofauti na wenzetu ma stations makubwa mpk porini af wanatuambia eti wamelenga 2035 ongezeko la watu, wangesema tu ongezeko la watu na wanyama
 
Ha haaaa mkuu umeuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee hawa wehu wameamua kupigisha kwata abiria leg exercise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ