Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Never huwez kuwaona tena amebakia mmoja tu naye si mwengine ni kiazi huyu👉 mwaswast
SGR kipande cha Dar-Moro kilikuwa kiishe Novemba, sasa kipo 70%. Kuisha mwaka kesho. Sasa mkopo wa Biashara wa Fedha za kigeni umechukuliwa. Riba 9%. Serikali ipo kwenye panic. Gharama za Ujenzi zinaongezeka ( costs over run ). Mbia mmoja wa Ujenzi ( Mreno) kabwaga manyanga
 
JKIA - Rironi Highway $670m
JKIA - Westlands Expressway $630m
Outer ring and Ng'ong road expansion $170m
Upper hill roads construction $30m
Commuter rail network $25m
Thika road expansion $59m
Ng'ong hills wind power
KenUP $110m
Tatu city $2.5b

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SGR phase one 1.2b gvt fund
SGR phase two 1.9 b= 1.4b loan + 0.5b usd gvt

Endelea kujipa matumaini 🤣🤣🤣🤣
Unatuletea maneno ya Zito kabwe na kigogo
 
Asante kwa kutuekea na renders🤣🤣👏👏👏
 
Rironi is 16b ksh inakujaje 630m usd🤣🤣👇👇
Au unafkiri kutaja fake amounts ndio mutaonekana munajenga
 
JKIA westland Express way ...render
Thika expansion....render
Tatu city .... white elephant
Etc
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…