Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni wajinga wa kupindukia. Mwishowe utasikia eti Nairobi ilijengwa na wazungu. Sasa mimi ujiuliza ni nini hiyo walijenga wakati all major buildings and infrastructure in Nairobi were built after independence. Hawa ni vilaza sana
Watakuambia Nyayo stadium, Kasarani, Times tower na KICC zilijengwa na wazungu hadi unaanza kujiuliza kama kina Moi walikua wazungu wakifanya hizi projects. Hata Kirubi mwenye 2 Rivers ni mzungu kwao [emoji23][emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni Dar Vs Nairobi but because of your inferiority complexes, you've decided to make it Tanzania Vs Nairobi. See your lives Danganyikans
Nicxie akizidiwa huwa anatafuta pa kutokea, mara ngp mnapost picha za Mombasa humu pamoja na za miji mingine iliyo nje ya Nairobi?
 
Huu uzi ni Dar Vs Nairobi but because of your inferiority complexes, you've decided to make it Tanzania Vs Nairobi. See your lives Danganyikans
Af ktk vile nilivyovitaja, ni dams pekee ndo hazipo Dar lkn vngne vyote viko under construction apa apa Dar.
 
Nicxie akizidiwa huwa anatafuta pa kutokea, mara ngp mnapost picha za Mombasa humu pamoja na za miji mingine iliyo nje ya Nairobi?
We do so coz you post your villages called cities here morning to evening. Ukiangalia chanzo cha hizo posts (zetu) utapata kwamba ni majibu ya posts za kijinga za miji zenu that you post here from time to time
 
Ss unalia nn..
 
I know, that topic is a third rail issue, you won't dare to touch it.
Okay, show me aerial views of your residentials and don't be selective in your postings. I would love if you concentrate on ordinary neighborhoods coz that's where the majority live, not those 'posh' ones
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…