Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,153
- 107,721
with greenhouses horticulture products can grow even in desert!Mwanza ? ...Holti Iko Vizuri Arusha,Kilimanjaro na Mbeya ...I would wish for a Cargo Terminal at Songwe and expansion of the one in KIA ..i think Mwanza main cargo will be Fish and Fish products
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida kwa chokoraa kama weww mwenye ukichaa kamwe huwezi kufundishika...Mtanzania hawezi nifundisha kitu, especially wewe hapo. What lesson can a man who calls a squalor a dream house teach anyone? Absolutely nothing. Deal with your filthy dream houses. We ain't boarding
Ha haaaaaa,,,,vipi tena mzee yadhihirisha huwa ni bingwa wa kutoa kubwa hapo kunya land.....
Tupo proud na dream house zetu sio hayo Maboksi ya kuhifadhia vile vifaranga vya nyama ambayo humo ndani ukipumua hali ya hewa inaharibika kabisa 😂😂😂Maisha ya dream houses hatuna kaka. Mbona unataka tufanane? Wewe endelea na maisha yako ya uchochole ya kuishi kwenye squolar that you proudly call a dream house. Inakasirisha ila ndio hivyo basi
Brt inabamba balaa. ...jamaa watakuonyesha thika highway ambayo nayo inajam kama kawa. ..hawakujua priority wazee wakukurupukaThe view from PSPF twin towers Rooftop by indaressalaam, 於 Flickr
The view from PSPF twin towers Rooftop by indaressalaam, 於 Flickr
The view from PSPF twin towers Rooftop by indaressalaam, 於 Flickr
The view from PSPF twin towers Rooftop by indaressalaam, 於 Flickr
Mbona Zanzibar ina more 5 star hotels than Nairobi n yet Zanzibar is not even in top 3 of largest cities in Tanzania?Na hizi chocha zote Mombasa ina port kubwa kuliko Dar and its the 2nd largest city in Kenya while Dar is the main city in Tz.