Ebu nionyeshe picha ya even 10 meters of construction.Oil pipeline ujenzi umeanza na hakuna shida kwa sasa LPG mchakato ushaanza pia wa ujenzi hvi wewe unafkiri tuko tunawasubiri nyinyi ama[emoji16][emoji16]
Ndio maana viranja wameamua kuja wenyewe, kuna kitu wameanza kukiona baada ya kufanya tathminiTaratibu tutaelewana tu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1350386
TZ $60.3 Billions, bila shaka hata viranja wameshaanza kuelewa kuwa GDP yetu ni kubwa kuliko walivyokadiriaAlaf wapo hapa wanazungumzia GDPπ€£π€£π€£
Huku debt to GDP ratio tz ni 37% na Kenya 70%
View attachment 1350389
Ichoboy ebu tuonyeshe hiyo 70% ya debt to GDP ratio ya Kenya. I want to see it.Alaf wapo hapa wanazungumzia GDP[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku debt to GDP ratio tz ni 37% na Kenya 70%
View attachment 1350389
Umesahau make up [emoji3][emoji3][emoji3]
Nyumba za mabati zenye kutu kila kona aka dream houses tunajua zinapatikana wapi hapa EA. New York of Africa inawakilisha vizuri sana wala haina mpinzani π π πUlitaka wajenge zile unfinished buildings na nyumba za mabati kila kona ndio uone best luxury homes,
Hivi si ni wewe juzi ulileta humu picha za nyumba za msonge za wamasai halafu unatuambia huku uliziona mwanza halafu nikakupa kichapo kidogo tu ukazifuta fasta πππ
Ndo mana huwa nasema Google wkt mwngne inapndsha ukweli, hebu angalia kenya eti ni non ldc kwa tathmini ya mji mmoja tu wkt the rest of kenya ni jalala, Tz should have been removed from that group mda mrefu eti ndio wanahangaika kuitoa ss hv what a shame.TZ $60.3 Billions, bila shaka hata viranja wameshaanza kuelewa kuwa GDP yetu ni kubwa kuliko walivyokadiria
Afadhali cages mara mia kuliko "dream houses"Hivi kwanini wakenya mnapendwa kulundikwa kwenye cages kama broilers
Mambo iko huku ππππNyumba za mabati zenye kutu kila kona aka dream houses tunajua zinapatikana wapi hapa EA. New York of Africa inawakilisha vizuri sana wala haina mpinzani π π π View attachment 1350588View attachment 1350597
Ahahaaha jana naona uharo umekutoka humuπ€£π€£Jana Kisumu showed Arusha middle finger. Next time try something else.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata wewe unajua mnatukimbiza! π π π Mtatupita tu siku moja, usijaliHuwa wanaziruka[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila kwakweli wakenya tunawakimbiza sn nowadays yn hata hamu hawana sema wanajikaza tu, na kadri siku znavyokwenda tunazd kuongeza gepu
Kwanza ujenzi wa oil pipeline unafkiri ni kama kula biscuit auπ€£π€£π€£π€£
Ongeza na hz apa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Mambo iko huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1350606View attachment 1350607View attachment 1350610View attachment 1350611View attachment 1350613
Next time compare Arusha with Kisii I think that can be fair competition.Ahahaaha jana naona uharo umekutoka humu[emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£π€£ππππNimekuliza where is Bagamoyo, sijakuambia uniandikie lnsha. How can you count Bagamoyo as infrastructure project when it's dead.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nionyeshe ujenzi.Kwanza ujenzi wa oil pipeline unafkiri ni kama kula biscuit au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanza inaipiga mombasa vibaya sana. busisi bridge, airport cargo & passenger terminal, meli kubwa, vivuko vikubwa, hotels. Kubwa kuliko ni kwamba sgr terminal watu watapandia ghorofa ya tatu
Because haiko sasa, subtract the value of Bagamoyo to your infrastructure total value. That leaves you with less than $50b. Now show me the construction of pipeline, kama haiko do the subtraction to it again. Remainder is $45b. After this subtract $30b of LPG and then you get your final figure which is $15b.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]