Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mbn tunawajua kwny propaganda, huwa mnatafuta njia yoyote ile mjifariji ikiwezekana hata kuongopa, ss hizo picha ulizoweka unasema ni Tz je ni Tz ya wapi mbn do not resemble kabisaa!!
Hata wewe huamini hapo ni Dar! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Enyewe it's too ugly to be true. Kwa hivyo huoni hata hiyo brt yenu snailing its way through dream houses in middle income estate?

Wacha nikuongeze hizi bonus tracks kutoka Congo
 
Utaishia kupost hotels tu🀣🀣🀣🀣🀣
Wacha kulia, uliitisha battle πŸ˜‚ πŸ˜‚ All these are residential houses by the way. Nicxie VIKING23 Teargass naomba tununue shuka. Huyu jamaa tunamzika leo. Mombasa na Mwanza are world's apart. Inaonyesha hujatembea wewe.
Usisahau Mombasa has approximately the same number of dollar millionaires as Dar so expect it to have developments that match the number then add other Kenyans from the hinterland who own holiday homes huko plus foreigners.







 
Achana na huyo kilaza amezoea kuona dream houses za Dar
 

Hebu zoom utuoneshe slum ili leo niamini ww unaakili sana kuliko mzungu na leo hii niamini hii habari ni ya uongoπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Uhehehehhehe Kaza msuli mufikeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Nakushauri endelea kupost picha za marina hotel

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…