Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Sizitaki mbichi hizi au sio, kwa taarifa yako tuko kwenye upembuzi yakinifu kuweka Dodoma na Dar es SalaamWastage of space. Commuter rail is far more efficient, less space, cheaper maintenance and much higher capacity. Patriotism muhimu lakini tumia logic saa zingine
Na sasa commuter zitajengwa za umeme bro kaa mkao wa kula soon wanatangaza tender πππHakuna aliye sema hamna. But honestly can you compare the quality ya Nairobi commuter rail na hiyo Treni ya Makwembe??
This shitππππππ hata mwanza inaitoa njeMombasa is that your twin sister? ππ
Tafuta suburb kama hii kwanza ukipata nitagππNyinyi watu hunishangaza ππ, huna aibu kweli? Difference kama usiku na mchana. Endeni mkabishane na Mombasa, same economy, same buildings. Lodgings na apartments tu kwa town
Wonders shall never endπππππNyinyi watu hunishangaza ππ, huna aibu kweli? Difference kama usiku na mchana. Endeni mkabishane na Mombasa, same economy, same buildings. Lodgings na apartments tu kwa town
Progress ipo bro ππππHuu mradi umesimama? Mbona sioni progress huku maeneo ya mivinjeni?
Time will tellHakuna aliye sema hamna. But honestly can you compare the quality ya Nairobi commuter rail na hiyo Treni ya Makwembe??
By using which scale?, that is on top of BRT, the most advanced and modern Public transport Network in Subsahara Africa
Jitahidini upande wa commuter train upande wa Brt tuwachieni waanzilishi hapa East Africa π
Hii ndio Nairobi bila filter ππππ Mungu atupe subra aisee
looks like kibera slumsTafuta suburb kama hii kwanza ukipata nitagππ
View attachment 1346389
Ikiwa kuona huoni hata kupapasa pia huweziπππππlooks like kibera slums
Jitahidini mtafika tuHii ndio Nairobi bila filter [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mungu atupe subra aisee
Na sasa commuter zitajengwa za umeme bro kaa mkao wa kula soon wanatangaza tender [emoji16][emoji16][emoji16]
Ikiwa kuona huoni hata kupapasa pia huweziπππππ
Yani nimecheka sana πππππ
Sio kua hawapendi umeme pesa hawanaπππJamaa wana allergy na umeme wanapenda diesel [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Hii reli wajenge ya umeme sio watuletee mtungi wa mbege kama ule wa majirani zetu