Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona kama swali langu limekua gumu sana kwakoπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kapimwe mkojo ww 😁😁😁😁
View attachment 1345106View attachment 1345107
 
Ahahaha suburb imekutokea makalioni😁😁😁
 
Hii wanaita moshi town babyπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Simple and clear
 
mjomba wewe ndiye ungali kwenye ndoto

Hii ndio 2000 houses 😁😁😁😁😁 so 1300 appartments ni sawa na 2000 houses aisee kweli shule ni muhimu sana
 
sasa hizo single stories zilizochakaa ndio unaleta hapa? jamani wewe akili ilikutoka kitambo
Unajifanya kuzuga hatujaenda kwenye hotels hapo ndipo maji utaita mma😁😁😁😁
 
Compare facilities na MTRH utaona difference nikama mchana na usiku. Matisho tu ya kufurahisha macho lakini ndani ni shell tu. Same old facilities tunaeza zipata Kapsabet
Akili hujaipata bado sindio 😁😁😁😁😁
 
naona kichwa kimeanza kukuruka
Uhehehe umeanza kuomba maji ya kunywa hii ndio Tanzania ya 2020 na sio ile ya 90s akili itawakaa sawa tu msijali😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…