Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

U r lost
 
Embu soma hapa kwenye hii screen shot aliyoiandika ama hujui kusoma. View attachment 1344366
Mkuu usipotezwe maboya na hawa wauni wa kibera, jibu lao ni fupi tu kwamba Tz kwa ss hatu deal na wasanii wa nje mziki wetu unajitosheleza kivyote, huo ushamba wa kuita wanamuziki kutoka nje tulishaacha, wao lazima walete wanamuziki kutoka nje kwasabu mziki wao haueleweki, sisi kwny shoo yyte apa bongo ata ukiita chriss brown watu hawakuelewi ila weka kiba weka mondi party imeisha
 
Kenya ni shamba la bibi ndio maana wasanii wa nje wanakuja kujichotoea tu na kuwaacha wasanii wa Kenya wakilalamika kulipwa pesa kidogo.
 
Are these 2019? Mko na shida kweli. Don't you think sisi tukianza kuleta wasani wenye wakuja Nairobi since 2008 si tutajaza server? Please I have only asked you for international artists that came in Dar in 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema utajiwe na siumetajiwa au😁😁😁😁
 
Kachange gear angani [emoji3][emoji3] sikia ww nikwambie watz wa ss are very crazy with their home artists ukitaka kupata hasara leta msanii wa nje apa bongo
Nyinyi ndo mmechange gear. He asked about 2019 mnaanza mambo ya 80s
 
Prove that Kenya imewahi shindwa kulipa deni kana nyinyi. What IMF and World Bank said was just a word of caution. They didn't say that Hatuna uwezo wa kulipa. We are not LDC inayosamehewa madenj, lanes please
Kama hamjashindwa kulipa deni kwanini mpaka mkapewa tahadhari na deni lenu linazidi kuongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…