Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo la Makonda anachanganya ulokole wake na uongozi wa nchi, huu ni mwanzo tu, lazima Marekani ionyeshe mfano hapa duniani kwanini watu wengi duniani wanapenda kwenda Marekani kuishi na kuzikimbia nchi zao, kwani wamarekani hawana dini?, lakini mbona wanavumiliana na kuheshimiana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa. Hata kama sheria za nchi zina-criminalize homosexual sex, nobody, and absolutely nobody has the right kumchukua mtu kwenda kumfanyia anal examinations eti kisa kapokea sms ikisema kuwa huyo mtu ni shoga, unless kama that person was caught in the act na sheria za nchi ndizo zitumike sio sheria za bashite. Hii nchi kwenye mambo ya haki za binadamu imefeli, i'm not going to sugarcoat Tanzania when it comes to this.
 
Pia makonda hana haki yoyote ya kumpima mtu anayetuhumiwa kuwa ni shoga, yeye kazi yake ni kumpeleka mahakamani ambako huko ndio wanaweza itisha uthibitisho wa daktari.

Sio hili la Makonda pekee, tangu utawala wa Magufuli umeingia madarakani, kumekuwepo na mambo Mengi sana ya ukiukwaji wa haki za binadamu, viongozi wa dini waneandika waraka wakapuuzwa, wanaharakati na waandishi wa habari wamepata misukosuko mingi ikiwemo kupotea, dunia imelalamika sana lakini serikali imeendeleza kiburi chake, sasa ni wakati wa kuvuna matokeo ya kiburi chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe ni fala mmoja tu huna unachokijua, Hujawahi toka nje ya huko Baringo, The capacity of JKIA is 6-7m pax annual, Av been there several times. Your airport is tiny dear one.
 
It is an answer to a stupid person. The guy stated clearly that " unadhani mzungu ni mjinga aweke satellite angani iweze kuona slums Nairobi lakini ishindwe kuona slums Dar". Unfortunately you/ your companion translated that world "Mzungu" to Google. Stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni kweli kabisa wala sikatai neno hata moja. Wakati wa Kikwete, Tanzania ndio ilikuwa kama makao makuu ya Democracy na haki za binadamu Afrika Mashariki na uhusiano wetu kimataifa ulikuwa wa hali ya juu. Na hata kabla ya hapo Tanzania ilikuwa kipaumbele katika mambo ya kimataifa kumbuka kuwa marais wawili wa Marekani wameshakuja Tanzania. Hii sio kitu kidogo na hata Nyerere japokuwa alikuwa mtu anayesimama upande wa USSR, aliimarisha ushirikiano wa Tanzania na mataifa yote na mambo kama haya yalikuwa hayatokei ila leo watu hawawezi kuongea maana wanaogopa kuongea na utasikia wakuu wanasema kuwa mabeberu ni watu wabaya wanaoendekeza ushoga. Kiukweli hii ni one of the most irrational statements I have ever heard. Tanzania ibadilike. Serikali ya Magufuli inafanya mambo makubwa katika maswala ya maendeleo ya nchi lakini hata kama watu wana roads, bridges, electric trains bado wanatakiwa kuwa na liberty na hii ndiyo itafanya wananchi kuwa na furaha na kuendelea kuipenda nchi yao.
 
U have been spending a lot of time talking about minute issues nani asiyejua kwamba editing ni kitu cha kawaida kwny system au unataka kuchukua attention ya watu uonekane unajua mengi ss naamini vitabu viliongea ukweli kabisa mjinga akijua kdg atataka watu wote wajue kwamba anajua ngoja nkwambie hayo mambo ya editing ni mambo ya kawaida sn usipoteze muda wako kuyaongelea ww unachotakiwa kufanya ni kuingia Google search Dar just add up slums zen ukuje utuoneshe slums dar au utuambie kwmb umesha edit tusubiri hyo mwakani utuoneshe ulivyo edit naicho ndicho ulichoulizwa hayo mambo ya editing kila mtu anajua ypo ila je unaeza ku edit ukahamishia slums za Nairoba ukaziweka Dar? Hilo ndio swali unatakiwa ujibu tu kwmb inawezekana au haiwezekani
 
Mimi mwenyewe huwa simuungi mkono bashite ni mtu ambaye ana upeo mdogo sn lkn mwenye bahati tu kuwa na nafasi aliyonayo I even wonder how Mr President continues to have him in the office, perhaps there are some interests under cover btn them
 
Isitoshe bashite amekuwa akifeli kwny mambo mengi sana yn hajawahi kufaulu huyo jamaa ofcz Magu alipaswa alitumbue hili jipu mapema sn linatibua hali ya hewa hapa nchini uyo anafaa kuwa mkenya Tz hatunaga viongozi wenye upeo mdogo wa kufikiri km yeye
 
Wewe ni fala mmoja tu huna unachokijua, Hujawahi toka nje ya huko Baringo, The capacity of JKIA is 6-7m pax annual, Av been there several times. Your airport is tiny dear one.
I think I'll stay in Baringo if this is how "traveled" people think. Fact remains that JNIA is just a single terminal ya JKIA. It can be confused with one of those hotels in JKIA. We'd barely notice it if were inside JKIA. We're talking about a complex hapa not some single structure. Last time I checked it had a capacity ya 1.5m compared to JKIA's 7.5.
 
Tunafundisha watoto wenu wengi sana katika shule zetu
Kawaida ya watz kupeleka watoto wao nje ya nchi wapo kenya wapo uganda wapo Zambia wapo SA wapo malawi wapo Amerika wapo England so hyo ni kawaida ata wakenya pia wapo wengi kwny shule zetu uku so hyo pia ni weak point umetoa as usual
 
Mimi ninampenda sana Magufuli, lakini katika hili hapana kabisa, bado nitampa kura yangu mwaka huu, ila nitaendelea kuungana na watu, nchi, NGOs kushindikiza abidilike, ikiwezekana vikwazo viongezwe ili kumlazimisha asikie kilio cha wachache, huwezi kupuuza dunia nzima inapolalamika. Matumaini yangu ni kusikia Marekani inaongeza "pressure" kwa Tanzania, World Bank kuendelea kushikilia hizo pesa hadi mabadiliko yafanyike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, njaa inakusumbua, nenda kakamate "locusts" ukaange utafune.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isitoshe bashite amekuwa akifeli kwny mambo mengi sana yn hajawahi kufaulu huyo jamaa ofcz Magu alipaswa alitumbue hili jipu mapema sn linatibua hali ya hewa hapa nchini uyo anafaa kuwa mkenya Tz hatunaga viongozi wenye upeo mdogo wa kufikiri km yeye
Makonda sio politician. I wouldn't even know what to refer him as kwasababu mambo anayoyafanya na vitu ambavyo huwa anaongea kiukweli ni vya kijinga kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…