Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani zuzu linapita tweeter linaokota picha za 'wanaharakati' hata kunawa uso linakuja kuzitupia humu.
 
Mm siku zote hua nakwambia hii sio ile tz ya 90s[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]



Mbn ata uyo mkenya aliyepost hum imeonekana barabara ya tope af pembeni kuna barabara mpya ya lami manaake ilishatengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…