Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawawezi shindana na taifa kubwa, reli pekee inawatoa jasho baada ya kuingia kichwa kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pamoja na investment zote hizo anazofanya bakhresa.. nin bado kinamfanya asiwe usa dollars billionaire? au atakuwa billionaire baada ya matokeo ya investment zake??

maana jamaa ni balaaa [emoji119]
 
Hawachelewi kukuambia ni mtumba mana km walisema dreamliner ya ATCL ni mtumba japo waliona ikiwa inatengenezwa kiwandani hawatashindwa kukuambia kuwa hyo ni second hand[emoji3][emoji3][emoji3]
 
pamoja na investment zote hizo anazofanya bakhresa.. nin bado kinamfanya asiwe usa dollars billionaire? au atakuwa billionaire baada ya matokeo ya investment zake??

maana jamaa ni balaaa [emoji119]
Yule jamaa hajioneshi kabisa alaf hajaweka Mali zake zote mezani bro
 
pamoja na investment zote hizo anazofanya bakhresa.. nin bado kinamfanya asiwe usa dollars billionaire? au atakuwa billionaire baada ya matokeo ya investment zake??

maana jamaa ni balaaa [emoji119]
Kwa EA hii czan km kuna tajiri wa kupimana ubavu na Bakhressa kwakweli hao wengine tatzo wana make sn Bakhressa hatari mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…