Bro mm huwez nidanganya kabisa yani hata usihangaike ntakuaibisha hutakaa kunisahau 😀😀😀😀😀 mm hua siumii na dead projectsImagine they've built all that yet they've been having court cases na partners, issues with permits from Kiambu County etc
Utangoja ikuwe white elephant. Inazidi kutamba, inazidi kupaa. Najua umeumia moyo sana.
Just the other day they got SEZ status
Huo msitu kwanza ndio unaongeza value na allure ya Kilimani. In fact right now people are moving out kutafuta misitu zaidi. Hawataki high rise ambayo mnatumia kama criteria ya developmentToa wimbo wa kusifu msitu wa kilimani😂😂🤣
Residents move out of Kileleshwa, Lavington in search of privacy
Kileleshwa is now congested and has lost its lustre.www.businessdailyafrica.com
na wajue hiyo Thika road hataaa 😂 😂
The ultra modern stadium in east and central Africa
Home ground ya the best volley ball team in Africa 😂😂
unaumiza hawa watu. Wako na picha za vitu zimechakaa na bara bara mbovu 😂😂
Mmepata stadium international juzi tu na haijaiunua quality ya sports nchini 😂 😂
Juzi lini we unajua ina miaka mingap hio stadium??Mmepata stadium international juzi tu
Acha kujiaibisha kijana, that's an indoor arena. Do you even have one in Tz?
Kuna mrembo anatolewa nguo pole pole tu pale nyuma
imepita miaka 15?Juzi lini we unajua ina miaka mingap hio stadium??
Ina 13 yrs nowimepita miaka 15?
btw sijaona indoor arena DarAcha kujiaibisha kijana, that's an indoor arena. Do you even have one in Tz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nakupa kitu ya uhakika budaa tulia plz😀😀Acha kujiaibisha kijana, that's an indoor arena. Do you even have one in Tz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana, in East Africa it's only Rwanda and Kenya.btw sijaona indoor arena Dar