Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another two brand new ferries πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡
 
hamna filters hapo, just HD camera. Yaani karibu kile macho yako yanaona. Wewe unaleta picha imepigwa na Oppo πŸ˜€πŸ˜€
So hii je sio kweli hvi ww bro unaona unaeza kudanganya mm ??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
So hii je sio kweli hvi ww bro unaona unaeza kudanganya mm ??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Picha imepigwa jioni. Ona the golden color ya sunset. Si filter. Ulivyo ona hivyo ndio kwa ground iko. Usiltete picha za Oppo hapa πŸ˜€πŸ˜€ . Next time ukipiga tour Kenya anza Kisumu, fika Eldoret, nakuru kisha Nairobi. Ukifika Nairobi nitafute nikununulie Tusker
 
Narudia kukuuliza he unaeza kudanganya mm kushusu kenya????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hakuna sehemu sijafika Kenya wacha nikwambie bro juzi kati nilikua kisumu nakuru na Nairobi na hii juzi last week nilikua Mombasa na malindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…