joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ingia you tube andika" ulipifikia ujenzi wa soko la.......' Jaza hayo majina niliyokuwekea.Hizo zote ni za midomo. Without pictures all those are just like a wet dream.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawez rudi tena ๐๐๐๐๐Ingia you tube andika" ulipifikia ujenzi wa soko la.......' Jaza hayo majina niliyokuwekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanazo hadi jezi za simba na yanga ๐๐๐Mbona walikuja wengi tu...we ingia YouTube search ..
Tatizo wana uwezo mdogo wa kufikiri ๐๐๐
Hahahaha, kweli Tanzania baba lao ukanda huu.Mungiki nao wali-enjoy the biggest and best derby in east and central africa
Na usifkiri hawajui bro wanajua vzr sana lakini ile kukubali ndio inakua mtihani๐๐๐๐
Ni kawaida, sio rahisi mtu mzima kukubali kushindwa hadharani, ninaelewa hali inayowakabili kwa sasa.Na usifkiri hawajui bro wanajua vzr sana lakini ile kukubali ndio inakua mtihani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakibisha tunawapa ushahidi kama hivi ๐๐๐Ni kawaida, sio rahisi mtu mzima kukubali kushindwa hadharani, ninaelewa hali inayowakabili kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu we jamaa huwa ni boga sana,hivi huwa unawezaje kuhesabu floor kwa kuangalia windows
Halafu we jamaa huwa ni boga sana,hivi huwa unawezaje kuhesabu floor kwa kuangalia windows
Halafu we jamaa huwa ni boga sana,hivi huwa unawezaje kuhesabu floor kwa kuangalia windows
KDF iko wapi๐๐๐๐๐The last time I checked Millennium tower had 27floors and not 30.
Sent using Jamii Forums mobile app
KDF iko wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahhaa tumetoka kwenye biggest market nimekutandika sasa umerudi kwenye millenium ๐๐ mm hua nafurah ville unatapatapa ๐๐๐