Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We love this city
Well said.
 
Habari zenu...Naona number nyingi Za kenya kwenye baadhi magari hapa Moshi. ..sijui ni watz wanaoishi Kenya au ni wakenya wamekuja kula raha ...
Kwakwel Moshi magari Ni mengi sio kawaida...kumechangamka sana ni kama kawaida huu mkoa mwisho wa mwaka hua mtamu ajabu...

Nawatakia sikukuu njema msherehekee kwa Amani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waje as long wana-spend hata kwa parks na Arusha wapo wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…