Kajengeni kwanza cable stayed bridge kama hiyo ndio upate balls za kusuggest chochote on our issuesonly $470,000 for a whole year? Si hilo shirika la NSSF lingepata kipato kikubwa kwa biashara nyingine?
From insults to sharing opinions. Things couldn't get better 😁😁Hehe.....i am watching deep state .....i enjoy national security series more......vikings ended last year with Bjorn winning.....though Alfa might do something sinister in future i suppose.
Sent using Jamii Forums mobile app
shida si daraja. Unakwepa the main question. Was it a viable investment given the small returns?Kajengeni kwanza cable stayed bridge kama hiyo ndio upate balls za kusuggest chochote on our issues
Pitia hapa kwanza alaf uzungumze🤣🤣👇👇The best beach in the world [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]una utoto mwingi sana...
That thinking belongs somewhere in the 19th century. That's artAkili zenu mnazijua wenyewe. Mnakuwa kama watoto wa chekechea
We
The bridge is just three years old. Viability ya project haiwezi kuonekana mapema kiasi hiki lakini baada ya muda lazima fruits zionekane.shida si daraja. Unakwepa the main question. Was it a viable investment given the small returns?
Unajua miradi mingi ya serekali haiko kwa ajili ya kukandamiza wananchi ndio maana unaona return yake hua inachukua muda mrefu kwa mfano hilo daraja design yake ni kuishi miaka 120 so imagine hapo alaf tumia akili ya kuzaliwa ww na ukoo wako🤣🤣🤣🤣🤣🤣shida si daraja. Unakwepa the main question. Was it a viable investment given the small returns?
Hehhe wakat thika highway imejengwa kwa mkopo kutoka China na haijarudisha deni mpaka kesho na inamiaka zaidi ya 6🤣🤣🤣🤣🤣The bridge is just three years old. Viability ya project haiwezi kuonekana mapema kiasi hiki lakini baada ya muda lazima fruits zionekane.
Alaf utaskia wanakuja hapa wanabwata 🤣🤣🤣
for how much?
tuliza boli. Mchezo bado kuisha. Kwanza malizeni track ya hadi Rwanda na cargo zianze kutembea. Mambo ya kurukia maneno kabla wino hujakauka ni kuonyesha naivety kwa mambo ya siasa za nchi. Kwanza hiyo reli bado hamjamaliza station ya Dar na tayari kusherehekea. Mnapiga kelele za chura tuNaona kama huna habari wewe😂😂😂👇👇👇
Uganda nae kachomoa anakarabati mzimu wa zamani😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇
Tamarind Tree suites almost doneView attachment 1294215View attachment 1294216View attachment 1294217View attachment 1294218
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu nyinyi hua munakurupuka juliana na malaba sasa imeishia porini🤣🤣🤣🤣 na hapo bado mchina anawatafuna vzr tunajenga 722km modern electric train in Africa kwa pamoja my friend from dar to singida makutupora so mchezo huu hautaki hasira au bado una mawazo kama hii ni ile tz ya 90stuliza boli. Mchezo bado kuisha. Kwanza malizeni track ya hadi Rwanda na cargo zianze kutembea. Mambo ya kurukia maneno kabla wino hujakauka ni kuonyesha naivety kwa mambo ya siasa za nchi. Kwanza hiyo reli bado hamjamaliza station ya Dar na tayari kusherehekea. Mnapiga kelele za chura tu
Naona waelewa NarobiWow, is this thing being expanded, Was here Last year, I Love that carnivore with lots of meat
😂😂😂Tatizo lenu nyinyi hua munakurupuka juliana na malaba sasa imeishia porini🤣🤣🤣🤣 na hapo bado mchina anawatafuna vzr tunajenga 722km modern electric train in Africa kwa pamoja my friend from dar to singida makutupora so mchezo huu hautaki hasira au bado una mawazo kama hii ni ile tz ya 90s
Bado haijamalizika phase 1 ya morogoro na unaongea mambo ya 722Km, si utulize kwanzaTatizo lenu nyinyi hua munakurupuka juliana na malaba sasa imeishia porini🤣🤣🤣🤣 na hapo bado mchina anawatafuna vzr tunajenga 722km modern electric train in Africa kwa pamoja my friend from dar to singida makutupora so mchezo huu hautaki hasira au bado una mawazo kama hii ni ile tz ya 90s