Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Weee... unasema kweli? basi kama ni yeye inabidi nimuepuke kama ukoma maana ana matusi ya ajabu sanaHuyo manzi Viking ndiyo janerose karudi dar vs naii alisusia na wenzake ,mpe hi janerose
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana tabia ya kutukana sana yule, lakini kuna siku nilitumia tafsida nikamkomesha kweli kweli hajarudi hadi leo hii 😂😂😂Weee... unasema kweli? basi kama ni yeye inabidi nimuepuke kama ukoma maana ana matusi ya ajabu sana
Nlikua najaribu kukutia moyo, hukutaka kutiwa moyo? Any way kama episodes walizorelease za vikings umemaliza, jaribu kucheki series inayoitwa "see"
This is what we are talking about
Janerose vp unajidai kunikaushia kwakuwa nimekujuaMuliandaa sherehe mkapika pilau na bagia...[emoji1787] kwa uzinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
only $470,000 for a whole year? Si hilo shirika la NSSF lingepata kipato kikubwa kwa biashara nyingine?
Hawa si ndio walisema hawarudi Misri wanaenda Kaanani au huko kaanani napo taabu iliwapata? 😂 😂 😂
Unayajua mabanda yanapopatikana🤣🤣🤣
Kwani umesikia ina biashara moja.only $470,000 for a whole year? Si hilo shirika la NSSF lingepata kipato kikubwa kwa biashara nyingine?
Kwasababu zimenunuliwa cash nyie muna miaka 50 kwenye airline munamiliki ndege 3 🤣🤣🤣🤣🤣Muliandaa sherehe mkapika pilau na bagia...[emoji1787] kwa uzinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app