Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pigo takatifu kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona CBD tu hapo sioni upanga sioni kijitonyama sioni ubungo sioni ilala sioni masaki sioni oyesterbay sioni mikocheni sioni mbezi etc[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endelea kujipa matumaini
Bwahahahaaa!!!hapa huwezi pindisha mada...hii ndio inamaliza kila kitu, yani km bomu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli na hii Lugha tutaipeleka mbali maana ndiyo unique mama language kwa hapa africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa, hii lugha ni nzuri sana na mtu yoyote anaweza kujifunza ndani ya muda mchache na kuifahamu kwa ufasaha zaidi, mfano yule mwanamuziki wa SA,
Japo wengine waliikataa zamani wakakumbatia lugha za kikoloni zilizowafanya waingie kwenye janga la ukabila kutokana kwa kukosa lugha moja ya kuwaunganisha wote pamoja, lakini nashukuru siku hizi Wameanza kukishobokea japo sio kiufasaha.
 
ni kweli kabisa,,,,kitaeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna slums bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna mkiambiwa hvo mnaweweseka...tulia ikuingie, uswazi ni middle class dar bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lini utakuja dar maana kila mkenya aliye post vibali vya kuja Tanzania na kututishia kuonyesha slum akifika tz walipotea awakuleta mlejesho kuna huyu wa juzi aliyekuja akakubali kuwa JNIA ni nzuri kuliko JKIA nilimkumbusha mapema asisahau kuleta picha alizopiga slum yeye mwenyewe hadi keo kimya ,je wakenya siuwa mnasema mnatembea nchi mbalimbali siyo kama sisi watz sasa inamaana wakenya wote walio kuja tz na waliopo Tanzania ni wasaliti hakuna aliye weza kuleta picha za slum? Sasa tunakutaka wewe komora uje dar utuonyeshe picha za slum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahahaaa!!!hapa huwezi pindisha mada...hii ndio inamaliza kila kitu, yani km bomu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1292089

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda we unioneshe upanga iko wap?? Nioneshe kijitonyama na masaki nioneshe ubungo nioneshe ilala nioneshe mbezi nioneshe another part ya kariakoo to kurasini ahahahahhahaha kazi munayo sana🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania hakuna slums bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna mkiambiwa hvo mnaweweseka...tulia ikuingie, uswazi ni middle class dar bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya watashamshangaa huyu mtz kwa sababu mkenya usikitika kurudi Kenya wakati watz wanasikitika kuondoka tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…