Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona wimbo umebadlika sasa baada ya kuaibishwa... Hapana, ilijengwa 1920. Hope that will make you happy
Imebadilisha nini sasa. Picha zimetumwa ngapi na mmejenga ngapi? Huo ndio uhalisia wa maisha ya Nairobi. Mtamdanganya asiyepajua
 
Hata Mbeya wamewashinda wamejenga soko wakaweka nice paved sidewalks with parking lots! Landscaping in Kenya is a nightmare!
 
Hata Mbeya wamewashinda wamejenga soko wakaweka nice paved sidewalks with n parking lots! Landscaping in Kenya is a dream!
Hii ndio ile Mbeya inayoitwa city?? 😂 😂 😂 Jamani hii hata kitale si ni kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…