Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


[emoji23] lol, here is a summary of the Economy of The Failed Banana Republic of Kunyaland
 
Moshi ni sehemu nzuri sana kuishi sema watu wengi hawajui. Nikija nyumbani kila sehemu utakuta wazungu wamejaa. Nikipata muda nitapiga picha za mitaa ya huku nishare.
Moshi tunaijua sisi nasikia uyo ndezi anasema kuhusu marsabit lol kuna watu Ni wajinga sanaa
 
Izo data umezitoa wapi?barabara zenye lami/zege zimeshafika 14000+km acha ujinga
 
Hako kacentre mnaita capital city labda serikali ichukue loan na kulazimisha wanabiashara wajenge ama mali ichukuliwe kama ilivyo desturi ya CCM
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



Ukiona KFC ujue kuna purchasing power Nakuru. dodoma kuna mall kweli?








Egerton university


 
Angalia hii video Wasikilize ndugu zako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…