Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni rivers gani hizo zilizopo Dar zenye crocodile?
Nilikuuliza vizuri hapo juu hujajibu zaidi ya kuruka ruka.
 
Ukistaajabu ya Musa, utakutana na ya Dar is slum, the New York of Africa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dar yote ni slum mazee, mvua ikinyesha hakufuriki barabarani pekeake, mpka majumba hujaa maji mpka karibia na paa
 
Ni rivers gani hizo zilizopo Dar zenye crocodile?
Nilikuuliza vizuri hapo juu hujajibu zaidi ya kuruka ruka.
I know Dar has rivers. I also know that crocodiles live in rivers. Do you want me to come down to Dar and do the physical count of the total number of rivers that have crocidiles in them? Kweli wewe pumba
 
Hizi videos ni za barabara za Dar eeh





Nairobi barabara hazifungwi km hko kwenu, wacha ubishi wa kijinga..
Drainage iko poor lkn haiweki maji kw mda mrefu vile km hko kwenu...

Hadi magari ya brt huaga hayafanyi kazi
 
I know Dar has rivers. I also know that crocodiles live in rivers. Do you want me to come down to Dar and do the physical count of the total number of rivers that have crocidiles in them? Kweli wewe pumba
Crocodile huishi kwenye rivers lakini sio kila river utakuta crocodile wakiishi,
Now nataka uniambie ni river gani crocodile wanaishi Dar?
Acha kuruka ruka na uthibishe kauli yako.
 
Ukosefu wa ubongo husababisha mtu arukie reply bila ya kuisoma kilichoulizwa humo,
Angalau ungekuwa hata na ubongo mmoja.
Umelielewa swali jomba, mbna unazidi kuwehuka hivi...
Nimekuuliza freshy, kati ya hzo hapo kw goole maps ni ngapi za dar...
Unatakiwa ujibu kiulaini tu, angalia sasa una bwabwaja kw kitu simple tu
 
Crocodile huishi kwenye rivers lakini sio kila river utakuta crocodile wakiishi,
Now nataka uniambie ni river gani crocodile wanaishi Dar?
Acha kuruka ruka na uthibishe kauli yako.
I don't live in Dar. Hiyo swali nishakujipu hapo juu kwamba I cant do the physical count ya mito ya Dar yenye mamba na zile hazina. If you are not satisfied with my answer, pengine uulize mwenye alipiga picha. Hii hapa ni hilo jumbo la kioo ilio kando na mahali ambapo hao mamba walikuwa. Hii pia ni photoshop
 
Nairobi barabara hazifungwi km hko kwenu, wacha ubishi wa kijinga..
Drainage iko poor lkn haiweki maji kw mda mrefu vile km hko kwenu...

Hadi magari ya brt huaga hayafanyi kazi
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa barabara zenu kukiwa na mafuriko huwa magari yanapita hivo hivo?


 
You don't live in Dar,
Why uokote photoshoped pic useme eti Dar kuna crocodile halafu unabanwa ueleze ni river gani ina crocodile Dar unaishia kuruka ruka hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…