Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

gud sana inasound poa hii kitu
 
Kwanini wasifanye kama Simba, Kahata sasa hivi anapanda private jets. Ile aibu yakulala kwenye sakafu ya airport ameyakimbia. Gor kama timu kubwa zaidi Kenya ina reflect hali halisi ya Kenya.View attachment 1275364View attachment 1275365
huyo mshikaji yaani mambo murua,,,,kala usingizi wake wa nguvu hana hata habari.....maisha yanaenda utadhani yupo kwake...[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…