Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwhyo dar kimajengo imeizidi new york[emoji848][emoji848]
 
huwa unawashwa nini kuita NYC hapa??ni kiwewe ama kukimbia msala.

ukitaka kuhalarisha kwamba nairobi iko na density zaidi ya dar ama?ghorofa nyingi zaidi ya dar?
Heheee!!si nynyi mnajiskia na ukubwa wa eneo..
Ndio nakuonyesha ukubwa wa eneo si kitu
 
Talking of a country hectares of iddle huddled by few! May be u can tell us how many sq km of land under Uhuru's family stay idle in Nairobi!? Not less than 200 sq km in Nrb alone!

Since you know a lot about Kenya, where is this Kenyatta land in Nairobi?
 
So ukimaanisha land area ya dar ni mapori hakuna majengo😆😆😆😆

Correct.
Hii ni Google map ya Dar. Red line shows the boundary that you keep posting here.

Boundary kubwa, majengo machache. 80 of the area is NOT built up.

 
Heheee!!si nynyi mnajiskia na ukubwa wa eneo..
Ndio nakuonyesha ukubwa wa eneo si kitu
blaza huwezi ukajengea hoja NYC kwenye nairobi.acha nirobi ijitetee.

kwani nairobi ina wakazi wangapi kulinganisha na newyork city!??maana ni kama kusema tuzilinganishe sasa[emoji3][emoji3]
 
Correct.
Hii ni Google map ya Dar. Red line shows the boundary that you keep posting here.

Boundary kubwa, majengo machache. 80 of the area is NOT built up.

View attachment 1268279
ndio hizo nyumba za kuishi tunaacha kupost huko pembeni ya jiji kuna nyumba sio maghorofa.ambapo kwa nairobi kuna mbuga za wanyama[emoji3][emoji3] see the differ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…