Wamesema wanakuja kuajiri watanzaniaGo unemployment[emoji116][emoji116][emoji116]
Leta na wale wanaolazimishwa kubeba mizigo[emoji1787][emoji1787]Hahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ahahahha poleni sana safari mutauza mpaka makende kulipa madeniππππWamesema wanakuja kuajiri watanzania
Nani kalazmishwa kubeba mzigo???Leta na wale wanaolazimishwa kubeba mizigo[emoji1787][emoji1787]
Naona Tanzania kwenye mambo ya science na tech inaenda kwa speed ya light. Ndo vitu tunavyohitaji sasa. Nilisoma sehemu kuwa Tanzania inataka kujiunga na nchi kadhaa za Africa kujenga satellite na kuilaunch into space (this will also help to spy on neighbors).Wizara ya elimu itambue hili sasa. Waboreshe IT institutions na kujenga research facilities kama pale SUA, wapaboreshe sana
Chris Kirubi alitoa wap pesa?TWO RIVERS MALL,THE GIANT MALL OF EAST AFRICA
Mwizi ni mmoja wa wanaofaidika na kinachoendelea KQ!Chris Kirubi alitoa wap pesa?
Bwahahaa!!silverstone ni private company, huaga unapenda sana kuotaAhahahha poleni sana safari mutauza mpaka makende kulipa madeni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Heheeee!!siku hz unaleta vitu hku hata bila kuvielewa vinasemajeNani kalazmishwa kubeba mzigo???
Kule walikotoa wale wahindi wenuChris Kirubi alitoa wap pesa?
Noma sana broMwizi ni mmoja wa wanaofaidika na kinachoendelea KQ!