Nimekuuliza swali wewe shida yako taa kwasababu unachotafuta ni upuuzi umehangaika kote umeona pagumu umeona uje na taa, umeanza na conference center umeekewa za adabu umehamia taa 😀😀😀nyi kweli mwasikitisha unaeza fananisha ii kitu na UAP, Sydney Opera, Brandenburg Gate, Eiffel Tower, RICC kweli. unafaa kujua maana ya hizo lights
nyi kweli mwasikitisha unaeza fananisha ii kitu na UAP, Sydney Opera, Brandenburg Gate, Eiffel Tower, RICC kweli. unafaa kujua maana ya hizo lights
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimekuuliza swali wewe shida yako taa kwasababu unachotafuta ni upuuzi umehangaika kote umeona pagumu umeona uje na taa, umeanza na conference center umeekewa za adabu umehamia taa 😀😀😀
yeah man,i'm into hiphop(the old school east african hiphop).kadoda11 for once we agree 😀😀 good you into hip hop....
his profile link in facebook:Sanchez Nadimo
Impostor? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Am torn between whether I should ignore you or try to reason with you.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
her profile link in Facebook: Martha W Johns
Impostor?!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Swali lako zuri sana....majengo mengi mazuri kenya yanamilikiwa na mashirika ya nje pamoja na wawekezaji kutoka nje.......Tujuzane: Ni wapi ambako wazawa na Serikali zao wanamiliki haya majengo mazuri kwa wingi? Je, uhuru wa raiya kuingia Hotel lolote pasipo ubaguzi uko Taifa lipi? Je, ni nchi gani ina mazingira mazuri na yasiyo na ubaguzi ambapo raiya wake ana uhakika wa kufanya biashara na kuwa Tajiri haraka kati ya hizi mbili?
HAPA TUMEKUWA WATUMWA WA KUSHABIKIA MAFANIKIO YA MIRADI YA WANYONYAJI WASIOJALI MASIKINI.
TPA Halina mpinzani bado,lipeni respect yake
ni kheri tu unipuuze kuepuka "kujitia" aibu kuliko kuendelea kuladhimisha mjadala na mimi.Am torn between whether I should ignore you or try to reason with you.
The fact that you think that is proof!! am better off ignoring........
hapa naona lugha zagongana. hauelewi kitu. Dar hakuna jengo lilio na LED Lights au Projector lights. hizo ni aina za Lights mbili tofauti na zina maana yake. Jengo lile la Conference centre lilikuwa la Rwanda lililoonyesha rangi za bendera ya Rwanda. hizi 'Lights' huwa na maana yake ambayo sitaki kugusia kwa sasa maana ni hadithi ndefu. sasa nitafutie jengo lililo na Led Lights ndani ya darislum.... kumbuka hizi lights si hivi hivi... zina maana sana kwa Nchi nzima na watu wake.Nimekuuliza swali wewe shida yako taa kwasababu unachotafuta ni upuuzi umehangaika kote umeona pagumu umeona uje na taa, umeanza na conference center umeekewa za adabu umehamia taa 😀😀😀
naona unanipata lakini ni kupuuza tu unapuuza. sasa hivi hizo nyumba mbili zinabadilisha rangi? na ni rangi gani/ unaeza relate vipi na hizo rangi? wacha upuzi banawe si umeomba jengo lenye taa, zinazowaka na kubadilika rangi? au uliomba tukupe kitu kama Sydney Opera, Brandenburg Gate, Eiffel Tower, RICC ?
Majengo yetu haya mawili yana taa na ni ya zamani kuliko hilo lenu, so sio mbaya sana labda kama unataka ku prove kitu flani.
From Raha tower rooftop by indaressalaam, on Flickr
ha ha haa kweli wew ni mlevi hauna...point umekosa hoja za kuleta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapa naona lugha zagongana. hauelewi kitu. Dar hakuna jengo lilio na LED Lights au Projector lights. hizo ni aina za Lights mbili tofauti na zina maana yake. Jengo lile la Conference centre lilikuwa la Rwanda lililoonyesha rangi za bendera ya Rwanda. hizi 'Lights' huwa na maana yake ambayo sitaki kugusia kwa sasa maana ni hadithi ndefu. sasa nitafutie jengo lililo na Led Lights ndani ya darislum.... kumbuka hizi lights si hivi hivi... zina maana sana kwa Nchi nzima na watu wake.
here take a look at Brandenburg Gate kwa madaha yake ujifunze sio kukurupuka tu
Daytime View attachment 512287
Night View attachment 512288
I can't argue with someone who brings a social media profile as proof! Are you serious?!ni kheri tu unipuuze kuepuka "kujitia" aibu kuliko kuendelea kuladhimisha mjadala na mimi.
ni ukuweli usio na shaka kuwa kiswahili kitamu tunachozungumza watanzania,kinapendwa sana na watu wa EA hususani wakenya,kushinda kiswahili kibovu kinacho zungumzwa kenya.
ushahidi mwingine wa wakenya wanaosifia kiswahili cha tz ni huu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ukurasa wake wa Facebook: Esther Kinuthia.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
huyu pia ni mkenya na ni member maarufu hapa jf.
kwakuwa namuheshimu sana,nimeonelea si vema kuweka wazi account yake facebook.yeye mwenyewe anajifahamu,bila shaka huwa anafatilia thread hii.