Yaonesha ww huna taarifa kamili na hutakua nayo😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇Hamna kitu hapa, huezi compare haka kakitu na Wild Waters wewe, tembea. Wanishangaza sana kwa kusema biggest water park, nimengja kuon akitu mega kama za Dubai lakini wanionyesha kitu ambacho kina tunnel na slide mbili. Jameni watuona vipofu ama?
View attachment 1261726View attachment 1261727
Uhahahah nioneshe ya nairobi ukipata ya nairobi tag me😂😂😂😂😂Asante kwa kurahisisha Dar vs Msa. Mombasa washawapiga kwenye mahoteli
Mwezi wa tatu au wanne wanaanza kaziMwakani siyo mbali pale utakaposikia radio na TV zenu ziki sujudia Tanzania ndipo utakapo jua aujui
Tumia tu makwapa kufikiriaI can bet my house you have never been to Kenya, jaribu kusave ufungue akili kwa matembezi. Naijua Dar vizuri na najua iko na majengo ya kupendeza na hakuna mtu anakataa, lakini bado ni kidogo, mko na miaka kadhaa kufika kiwango cha Nairobi sai, both kifedha na modernization.
View attachment 1261732
Kwa hivyo Kagera leo iko Dar?? 😂 😂 😂. Kweli hampendi kushindwa, lazima tu mhamishe magoli. And who said we don't have 'em God made "golf courses"?Godmade golf course, Karagwe Kagera View attachment 1261872View attachment 1261873View attachment 1261874View attachment 1261875View attachment 1261876
Hiv unajua maana ya golf?Kwa hivyo Kagera leo iko Dar?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kweli hampendi kushindwa, lazima tu mhamishe magoli. And who said we don't have 'em God made "golf courses"?
Enjoy Chyulu HillsView attachment 1261976View attachment 1261977View attachment 1261978View attachment 1261979View attachment 1261980
What kind of a question is that?? Wewe unayejuwa golf, hizo picha alizipost ni za golf courses?Hiv unajua maana ya golf?
Hebu linganisha ulichopost na yeye alichopost.
Halafu kagera iko Tanzania
Umesahau kule kuna dream houses? 😂 😂 🤣 🤣
Hii inadhihirisha ile budget ya Kenya ya $30bln hutimizwa nusu yake!inagwa wote tunajitahidi kushinda vita ya maneno ila izi nchi zetu zna mzigo mkubwa sana nje ya hzi mada
View attachment 1262019
Route ya SA inabidi waitafutie muafaka haraka!ATCL wanachelewesha nn, wauganda wako fasta