Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Khaaa...yani unapagawa na plates[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Kwhyo basi ya kenya haifai kupiga route za uganda...
Ccm jamani
Modern Coach ya UGANDA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mambo ya buses Kenya is far much ahead of TZ.
1. MODERN COAST.View attachment 1243009View attachment 1243010
Itawachukua miaka 100 kufika Tanzania ilipofika kwenye sector nzima ya usafiri wa nchi kavu, kwanza hata stands hamna, ni sawa na kuwa na ndege halafu huna Airport, Tanzania luxury buses zipo kila mkoa, Kenya kuna mikoa hata lami hawajawahi kuona
 
Hivi ukiondoa kile kicbd chao na thika road kuna majengo mengine yyt au barabara nzuri ya zile?
Sisi masikini nchi LDC tutoe wapi? Sisi tuko tu na Thika road pekee yake. Picha zingine za Thika road ndio hizi hapa 😂
 
Itawachukua miaka 100 kufika Tanzania ilipofika kwenye sector nzima ya usafiri wa nchi kavu, kwanza hata stands hamna, ni sawa na kuwa na ndege halafu huna Airport, Tanzania luxury buses zipo kila mkoa, Kenya kuna mikoa hata lami hawajawahi kuona
Hebu taja hizo mikao kwa majina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…