Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pamoja na mnara labda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tumo mbioni na kasi tulopewa na wazungu tumeitwaa mchana kutwa,usiku kucha.Je nyie na ulimbukeni,ulelemama na ukemi mnao kurupuka kila uchao umewapa yepi halisi?
 
Tumo mbioni na kasi tulopewa na wazungu tumeitwaa mchana kutwa,usiku kucha.Je nyie na ulimbukeni,ulelemama na ukemi mnao kurupuka kila uchao umewapa yepi halisi?
kasi gani mliopewa???? mzungu hana urafiki au hujui hiloπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
na kasi ya ukuaji tanzania ya sasa haitakuja kutokea kenya mpaka jua linasmama
 
joto jingi aisee nataka kuingia Jacuzzi, naambiwa huku ina jina yake spesheli inaitwa 'passport size'
 
Kumbe wewe ni Malaya?
I am a Male n i hope u understand WaTzii tukifika maeneo hayo tunanunua nini ingawa tunapata tabu sana maana hakuna products safi km za kwetu. What i mean tumewazidi yani hata dada zetu ni wazuri sana kushinda wa kwenu

Well back to the point. Tuliokuwa tumelala tulishaamka na sasa we take over. Belive me you gys are gonna cry for this market. We will no longer become a consumers for ur manufacturer products. We will fight for our beloved Nation Economy.
 
Duh kweli umepanick aiseeh ...Mbn Dar hakuna hilo jengoπŸ˜€πŸ˜±πŸ˜•
kachemka ndugu yetu kachukua sijui picha ya mji gani anataka alazimishe iwe darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duh kweli umepanick aiseeh ...Mbn Dar hakuna hilo jengoπŸ˜€πŸ˜±πŸ˜•
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
The second tallest skyscraper on the African continent After carlton centre in Johannesburg.
BRITAM TOWER


Sema tallest spire after Carlton tower

Carlton halina spire kumbuka even TPA inawaacha mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…