Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watakuambia hiyo ni Dar ya 90s 😂 😂 masters of denial

Hilo ni swala lakawaida watu kuwahi siti na kukusanyana. Ndo maana unaona wana gombania, hiyo ipo kila sehema, china, Japan subways adi New York subways wana kusanyana sembuse huku TZ ...😂😂 we Nicxie wewe achaga ubehewa. 😂😂😂 we jama bwana
 
In Kenya there were 9,482 dollar millionaires in 2018 😂 😂 😂 Yani tumewashinda almost four times na bado mnapiga tu kelele hapa. Number mtasoma sana

Endelea kushangilia vya watu like it even matters to the majority’s of the Kenyans..😂😂😂 watu wanakufa kwa njaa.. poverty is sky rocketing afu unakuja apa una shangilia ma millionaire. Do they bring food on your table 😂😂😂😂 we Nicxie wewe.
 
Kwa hivyo mimi nashangilia ila Mwenzako aliyeleta hiyo screenshot hashangilii. Wacha unafikiri. We lead this region and there's no looking back
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Oooooh my GOD!!![emoji25][emoji25][emoji25] How can people survive there..

Here in Dar es salaam you can't find such kind of houses,may be kigoma region
Khaa!!umebadilisha kauli tena
Hakuna sehemu kama kibera or any slum in kenya Tanzania nzima.. naomba ujue hilo. Kama ipo itume huku jamiiforum
 
Hehehe...leo mmekubali! Huwa mnakataa katakata na kusema Dar haina mabasi kama hayo
 
your mentality ni kushindana tu, si ndio? are you among them 9,482 millionaires?
NB: i didn’t post to show you the number we have!
Are you among the 2,500? And why did you post it if you you didn't want to show us the numbers. Maumivu peleka gongo la mboto
 
Kwa hivyo mimi nashangilia ila Mwenzako aliyeleta hiyo screenshot hashangilii. Wacha unafikiri. We lead this region and there's no looking back

He’s wishing to be one of them, haja washangilia.. soma tena alicho kiandika.. it’s Nicxie again.. 😂😂yani i saw this coming 😂😂😂
 
You have nothing to worry about my opinion because either way you will remain an idiot no matter the end results, however your level of hypocrisy is amazing, by defending a fallacy and a cheat does it put you in the same level as a retard?,i conclude that i have no respect to you as a human being but I have to concede your undeniable expertise in the interrelated fields of promiscuity and general slutiness is legendary...Keep on believing a lie and when you come to the end of your rope, tie a knot and hang on.
 
Do you know the difference between countries with the biggest economy and richest countries?...what are we discussing here?...our original argument was and i quote "Japan is the third richest nation on earth"..do you still stand with your statement sir?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…