Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani kaka zile dream houses ni za maisha ya chini ya watu wa Tanzania.
Ni sawa na kulinganisha na slums kwasababu slums za Nairobi ndio sehem za wakaao maisha ya chini ya Wakenya.
Inamaana mtu mwenye maisha ya chini wa Tz anafaidi maisha ktk dream house kuliko mtu mwenye maisha ya chini wa kenya aishie ktk slums.
 
Hao hawana maisha tofauti na nguruwe...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya ni maisha ndani ya Nairobi au ndo kufilimba...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hao hawana maisha tofauti na nguruwe...[emoji23][emoji23][emoji23]
Bro niliona soko lao la watu wa hali ya chini wa kenya lile soko la kariobangi nikimpeleka paka wangu anatapika hata punda wangu anagoma kupita pale pachafu kichizi hata nguruwe anapakimbia aisee.

Nikasema wacha nifananishe na soko la watu wa hali ya chini la Tandika ambako Nexcie alikua anapasema kuwa ni slums.
Wow nilishangaa!!!
Ebu tizama kaka!!!
Hawa jamaa wana maisha mabbayyaaaa sijawahi ona!!!
Kenya haina tofauti na India.


Kariobangi soko la watu wa kipato cha chini vs Tandika soko la watu wa kipato cha chini.
 
Ndio maana nikawa namsisitiza ndugu yangu jirani yangu asione kwa juu nyumba zimekaa random akazichukulia poa.
Ni nzuri kichizi mpk na sasa siku hz zinakuwa connected na tarmac mitaani.
Mimi mpk nikamuuliza kwa msisitizo "umefika sinza ndugu yangu jirani yangu kipenzi"???
 
wakuu nimegundua kitu wakenya wMepanic yaani mpaka raha yaaani mpaka mazomb yamefufuka

i love nairobi modern city like this
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
wakenya ni kunguni tupu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
wakuu nimegundua kitu wakenya wMepanic hayari mpaka raha yaaani mpaka mzomb yamefufuka

i love nairobi modern city like this
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1222033
Asa kaka nitafutie Sehemu yeyote Dar es salaam kwa sasa iliyopo hvyo maana km msimbazi wanapavunja na Tandale niliona magreda na vifaa vya ujenzi wanapavunja kule mto wa ng'ombe.
 
wakenya ni kunguni tupu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Yani kaka we acha tu hawa jamaa inabidi ifike kipindi wapunguze sifa za kipumbavu na wajielewe sio kusifia majengo ilhali hali ya maisha ni ngumu.
Jamaa siwachukii ila wanakera kupenda battle za kipumbavu nimekua nikiwafatilia sana hawa yani kupenda kujiona superior kuliko wengine wanajikweza sana ilhali wenzao Tz hatuko hivyo.
 
Nimezoom hapo nimeona nyumba za mabati tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…