Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Achana na huyo mlevi. Siku zote Wanasema wakenya wanaabudu wazungu huku wanachosema na kufanya inadhihirisha watu ambao wamekuwa enslaved kiakili kwa kuabudu maoni ya wazungu. What this nugu doesn't even understand is that Google images are editabe (privided you have an account) meaning most things written on Google Maps are a creation of people like you and me. Google CEO doesn't even know there exists a place called Mwananyamala deep in Dar es salaam or Umoja in Nairobi but hizo majina ziko google earth. Lakini kwa akili ya huyu mtanzania yeye anaamini hizo vitu zote zimeandikwa na mzungu (elimu ni kitu nuhimu sana). I have an account on wikimapia (which works just the same way as google earth) and I have edited so many names there.
 
Google earth alitengeza mjomba wako au???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Yani wakenya bana sijui munashida gani kichwani😁😁
 
Google earth alitengeza mjomba wako au???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Yani wakenya bana sijui munashida gani kichwani😁😁
Halafu hao wazungu ndio pia wameandika Majina za sehemu ndani ya google earth?
 
We unaonaje zilijiandika zenyewe au mjomba wako alietengeza google earth aliandika yeyeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
I know danganyikans are dumb but your level of dumbness is out of this world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…