Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pneumatic jack hammers used since the towers neighbors are too sensitive
blasting could not be used here


image hosted on flickr


image hosted on flickr


image hosted on flickr
__________________
 
Pneumatic jack hammers used since the towers neighbors are too sensitive
blasting could not be used here


__________________
Wanachimba tu toka 2014 wanachimba tu jamani mbona tusiwe wakweli my brother in nairobi ananiambia ujenzi umesmama wewe unaniambia wanachimba wapi picha wakejenga foundation????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
so huyo jamaa yako ndiye mwenye hii project and whatever he says is final and true. And then you cry when we say stupidity is Tanzanian privilege.
Ndio nataka kujua baada ya kuniletea pic nione kweli ujenzi Unaendelea nimuoneshe labda hajui nioneshe basis pic tafadhaliπŸ™‚πŸ˜›πŸ˜›
 
November 2015,notice the depth now appearing shallower







__________________
 
November 2015,notice the depth now appearing shallower







__________________
Hizo picha nimeziona muda kaka ikiwemo na hii moja wapo so ikwapi picha nione mukijenga sasa mbona tunashindwa kuelewana kuchimba wameanza kitambo ikwapi picha ya ujenzi sasa
 
lol...some guys will waste a lot of energy trying to prove something they have simple info about it...wengine walisema ati 1 kg ya unga ni 2 hundred..wengine wanasema hass imekwama,wengine wanasema kenya wanapimiwa chakula....ujinga ni mzigo kweli
Naskia Israel (absolute desert country) wamewapa msaada wa Sukari na Unga,
Because currently huko kwenu hutakiwi kununua zaidi ya Kilo sita za Unga.
Poleni aisee. Mko na Maisha magumu sana.
 
ON 13 TH DECEMBER 2015
GREAT REVELATION,THE TOWER WAS UPGRADED FROM 45FL TO 67 FLOOR,THE FIRST SUPERTALL IN AFRICAN CONTINENT


Meinhardt Group

Quote:
When completed in 2018 Nairobi Tower will be the tallest building in Africa.
Meinhardt is providing lead engineering, structural and MEP services for the Nairobi Towers. The proposed development comprises of two high rise buildings (300m 66-story office tower and 201m 40-story hotel) with a retail podium over four floors car parking. When completed in 2018Nairobi Towers will be the tallest building in Africa.
 
Wapi picha kwanza ujenzi ukiendelea tukate mzizi wa fitna nijue nyie au jamaa yangu nani muongo leoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
and finally he is back...jamaa asiyejua maana ya excavation still ongoing
 
NEW RENDERINGS WERE RELEASED DURING THIS PERIOD
DEC 2015




__________________
 
April 2015,the first 2 excavators on site
still land clearing






Hizo picha nimeziona skyscraper city miaka 3 imepita sasa nakuuliza swali bado munachimba na kama ujenzi unaendelea ikwapi picha ya at least nione foundation tu pekeake kaka mbona munaingia huku mkitokea kuleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Page in a recent Meinhardt newsletter (same info as posted before):


________________
 
Naskia Israel (absolute desert country) wamewapa msaada wa Sukari na Unga,
Because currently huko kwenu hutakiwi kununua zaidi ya Kilo sita za Unga.
Poleni aisee. Mko na Maisha magumu sana.
tumenunua hakuna cha msaada wala nini...alafu naskia tz(a large country with 100% fertile land) juzi tu walikua hawatakiwi kununua zaidi ya kilo mbili ya sukari...daah uvivu ni shida kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…