Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeleta estates nyingi sana. Donholm, Buru Buru, Komarock, Kariobangi, Umoja, Jericho, Embakasi na nyinginezo and I can even bring more eastlands estates if you want. Kama uliona tu Umoja pole basi
 
Tafuta mtu wakumdanganya sio mm budaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† infact ww hujui maana ya middle income kwa vile ukikodisha bedsitter pale umoja naww unajiona middle income πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimeleta estates nyingi sana. Donholm, Buru Buru, Komarock, Kariobangi, Umoja, Jericho, Embakasi na nyinginezo and I can even bring more eastlands estates if you want. Kama uliona tu Umoja pole basi

Estate hata huku zipo lakini most of people wanamiliki nyumba zao walizojenga wao wenyewe ndio maana uishangae kuona vijana wadogo wanamiliki ardhi na nyumba zao binafsi jambo ambalo halipo nairobi wanaomiliki ardhi ni wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nyinyi kwangu pakavu tia mchuzi subirieni yesu arudi mutamiliki hata hzo estate ulizopost ww nyingi zinamilikiwa na investors
 
Hii upper Emmanuel estate inapatikana wapi hii Nairobi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Huu ni mwaka wangu wa kumi na moja nikiishi Nairobi na Sijawahi sikia mtaalamu Kama hiyo Nrb
 
Google utapata jibu naona unapata tabu sana kutafuta kickπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† eti estate wanamiliki watu subutu wanaomiliki wako wapi haoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nusu ya kenya inamilikiwa na familia moja hio kibera itaacha kua na wakazi 2.5m
 
Yani nimecheka sana mzungu asione slum kwa google earth alaf ww ndio uone slumπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Unamaanisha hizi nyumbani au?

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama hizi ndio nyumba vijana wa Dar wanamiliki then wacha tu nicheke. Na uko tu serious and very proud ukisema hivyo!
 
Unaposema investors unamaanisha nini?
 
Unamaanisha hizi nyumbani au?

View attachment 1169614
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama hizi ndio nyumba vijana wa Dar wanamiliki then wacha tu nicheke. Na uko tu serious and very proud ukisema hivyo!
Wewe usipate tabu zoom hio map alaf tuoneshe wapi slum labda hujui maana ya slum weweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Yani mzungu asione slum uone wewe🀣🀣
 
Unamaanisha hizi nyumbani au?

View attachment 1169614
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama hizi ndio nyumba vijana wa Dar wanamiliki then wacha tu nicheke. Na uko tu serious and very proud ukisema hivyo!

Mtu akiangalia map tayari kashajua ni informal settlement wewe unalazmisha slum hahahha πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hebu ona ujinga huu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116] alaf wanajidai wamesoma hawa

Majamaa haya ni majinga mno yanashobokea wazungu.

Waje bongo waone wanavyotuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…