Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bila shaka umekasirika l sasa umeanza kuchagua picha za estate tena zile zileπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Three quater ya raia wa nairobi wanaishi kwenye slums waliobaki pamoja na investors ndio wanaishi kwenye estate
 
Bwahahaaaaa!!!!!ugua pole pole...yani kumbe kw akili zako hzo nyumba watu wana rent pekeake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]maskini...


Nasubiria makaazi ya middle class[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Robo tatu ya wakazi wanairobi wanaishi kwenye slums sasa hao middle incorme ni wangap au leo unataka kutuambia mtu anaekodosha kwenye estate nae ni middle invome???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

Hatari kwa afya za binaadamuπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡
Google earth ni hatari sana haikuona slum dar ila ilaona nairobi🀣🀣🀣

Kawangware slum🀣🀣🀣🀣 majina utasema mizizi
 
Kijana wa bongo, I was showing estates za eastlands, not any other place. Those are middle income estates ambazo hamna huko Dar is slum. Endelea kujifariji kwa kuleta picha za kibera ukishakosa middle income estates za Dar
 
Korogocho slum πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mzungu sio mjinga
 
Kijana wa bongo, I was showing estates za eastlands, not any other place. Those are middle income estates ambazo hamna huko Dar is slum. Endelea kujifariji kwa kuleta picha za kibera ukishakosa middle income estates za Dar

Ww endelea kuonesha estate za umoja alafu badilisha kila angle hujanijibu swali most of those estates watu wame rent sasa nijibu swali kurent estate ni middle income ????πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†


So google earth haikuona slum dar ila ikaona naorobi tu???🀣🀣🀣🀣
 
Mtu ana rent kwa estate unaeza mwita middle income au hamujui maana ya middle income πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Watakuambia ni dream houses. Nyinyi mnafaa tu kichapo cha mbwa ili nitoke kwenye hizi ndoto za mchana. How do you fail to plan your capital city this much? Yani nyumba zimerundikana tu bila mpangalio wowote kisha mnakuja hapa kuleta picha za kibera when your whole city is a mega slum! You think that a city is just about showing some three blue towers alone? No wonder you never show us your residential estates and concentrate just on the cbd. Hii ni aibu πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 😳 😳 😳 ☹ ☹ ☹


Sorry I forgot, hizi pia tumeokota Nigeria na Congo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Zoom hzo picha alaf uoneshe dream house hebu try to zoom unasnap picha ikiwa mbali ili ionekaane kwq mbali sana useme slum hapo hakuna slum zoom alaf snap utuoneshe hapaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Korogocho slum πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mzungu sio mjinga
View attachment 1169517View attachment 1169519View attachment 1169521View attachment 1169523View attachment 1169525
Sioni tofauti Kati ya hizi picha za korogocho ambayo ni slum na zile middle income estates za Dar which I posted. Ndo maana kila siku tunasema you only compare Dar with Nairobi slums which technically makes Dar a slum. So you have lowered your standards that much!
 
Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]60%ya wakaazi wa nairobi wanaishi eastlands...sasa we umia pole pole tu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Robo tatu ya wakazi wanairobi wanaishi kwenye slums sasa hao middle incorme ni wangap au leo unataka kutuambia mtu anaekodosha kwenye estate nae ni middle invome???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mzungu sio mjinga aone slum naorobi asione dar yani hnafkiri mzungu mjinga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† zoom hzo picha za dar alaf ndio utajua kwann mzungu hakuona slum hapo
 
Bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]60%ya wakaazi wa nairobi wanaishi eastlands...sasa we umia pole pole tu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

2.5m only kibera what about other slums au wanaishi nguruweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe na mzungu nani anaakili???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hebu zoom hzo pic utuoneshe slum hani mzungu hakuona wewe ndio umeona🀣🀣🀣🀣🀣 unanifurahisha sana
 
Nakupa mfano hii ni tabata wewe huku zoom sasa nimekusaidia ku zoomπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ haya tuoneshe slum πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yani kuzoom hupendi au inakula data
 
Robo tatu ya wakazi wanairobi wanaishi kwenye slums sasa hao middle incorme ni wangap au leo unataka kutuambia mtu anaekodosha kwenye estate nae ni middle invome???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Najua wewe na kizungu ni Kama maji na mafuta, hamsikizani. But just to let you know, middle income unamaanisha watu ambao wako na mapato ya kadri, sio masikini na sio tajiri. Such people can afford to buy houses and cars. Secondly mingi za hizo mitaa nilizopost kuna watu wengi Sana wanamiliki nyumba. Greenspan estate, Buru Buru Komarock na kwingineko nyumba zinauzwa usiku na mchana. Anyways, enough said, hebu niletee middle income estate yoyote ya Dar nione. Na hii sio utani by the way, niko serious
 

Zoom alaf utuoneshe slum nataka kujua ww au mzungu nani mjingaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Umekasirika au umepanic mukiambiwa ukwei munakasirika ahahhaa eti watu wengi wanakiliki subutu mm kuna czn zangu wanaishi upper emmanuel estate wananiambia most of estate zimekodishwa ww unaniambia wanamiliki πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na estate nyingi zinamilikiwa na investors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…