Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ikiwa zilitengenezwa hapo ..wataka nizihamishe nyi watanzania mwanishangaza sana, ndio maana mko nyuma nyuma hivi na hiyo nchi yenu kubwaaaa lakini bure kabisa
Ndio utumie akili wakat unasema maneno yako ya kipuuz,kwahyo nasisi tuziondoe zile nyumba Au? Shenz type
 
Mambo ya kutu postia vyumba vwa ghorofa kumi na tano ina chekesha mno, kwani kenya hizi twaziita apartments ..ndiko tunako ishi yaani makaazi ya raia, kumbe huko dar ndio sky scappers zenu hizi, ...maskinii
Hahaha uvyoongea tu lazima utakua unasota
 
Tuonyeshe majumba kama haya bana ....vyumba vya ghorofa thelathini kwenda juu.
na tafadhal usitume zile nyumba tatu huwa mnashinda mki post kila mara... sijui ndio posta au nini..
 
Mambo ya kutu postia vyumba vwa ghorofa kumi na tano ina chekesha mno, kwani kenya hizi twaziita apartments ..ndiko tunako ishi yaani makaazi ya raia, kumbe huko dar ndio sky scappers zenu hizi, ...maskinii
Ahahaha wacha hasira plz ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
westlands nairobi
 
lemac tower westlands nairobi
 
nairobi city center lonrho house
 
Attachments

  • 1560859853903.png
    141.7 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ