Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mitaa za watu wa kawaida Nairobi 👇👇👇🤣🤣🤣View attachment 1124143
Mitaa za watu wa kawaida Nairobi
Mitaa za watu wa kawaida Nairobi 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣

None of the above is Westlands, Kilimani or any other highend estate
 
Kwamba wakenya wote mnaishi kwenye estates .

Hiv watu hawajengi nyumba zao wenyewe?

Vip nasubiri stendi kuu na soko kuu la Nairobi
 
jamaa wanavituko hao ,,,si wote wanaoishi kwenye estate wanamachaka hatari hao,yamefichwa
 
Ati mitaa ya watu wa kawaida! Kibera na Gorokocho na Kwangare na other slums that 80% of People in Nairobi live?
 
you will never escape this reality kunyans 😵 💉 💉 👌😱 kama middle class estate ndio inafanana hivi, sasa wale wanaoishi kwenye low income suburbs watakuwaje? au ndo wale wanaoishi kwenye maboksi na wana flying toilets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…