Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

255 HIPHOP FREESTYLE Wakazi,nikki mbishi,mex tz na wengine kibao[emoji3][emoji3]

whatsup 254

 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wakenya mnavituko kweli kweli hawa walevi gari la bia lilianguka wakalivamia nakuanza kuserereka nazo kwa kunywa free kuna jamas kanifurahisha anashukuru sana kuona gari lilivyoanguka maana alikuwa na njaa sana,
inamaana kashiba bia

 
Unajuwa barabara za Dar hazitoshi mboga zile za KisumuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…