Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiki kitu ata mimi kinanishangaza, wanajifariji kwa kitu ambacho hakipo. Wapambane na wasomali huko.
 
Haya sasa, soon Tanzania kupata bandari ya uvuvi na hatimae kiwanda kikubwa cha process samaki wakubwa kutoka bahari kuu, wakorea wamekuja kufanya feasibility study tayari kuanza ujenzi wa hiyo bandari

Kuna raisi mmoja wa Africa alipiga tour ulaya na Asia akihubiri blue economy alivyo rudi kwake amenyuti kama sio yeye. Mpaka leo hamna ata mwekezaji mmoja alie jitokeza. Saa zingine unaeza hisi kuna watu wakipata uraisi wana kuwa na malengo ya kuizunguka dunia.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji57]blue economy ,,,

sio siri hiyo ilikuwa self tpur,,,kupitia daraja la blue economy,,,"
 
Wakenya huyu ni Mtanzania mmoja tu anapanda mpunga (mchele) hekari 1k,

Tunaendelea kupambana na njaa Kenya

I see,You mean like labeling all Mexicans as rapists ,all blacks as drug peddlers and all Dangagizans as Cannibals???
 
Wanafikiri uongozi ni kuzurura hovyo, ila hawajui ukihadimika siku zote lazima uwe ghali, nimefuatilia kwa karibu hii ziara ya JPM kwa nchi za SADC kiukweli kakamata hisia za wengi huko na amepata attention ya hali ya juu sio kwa wananchi tu lakini mpaka kwa marais, they treated him with wholesale dignity na kote huko kapiga madili ya kueleweka
 
Moja wapo hioπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…