Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Wapo waliotangulia kukataa lakini ukweli utasimama maana Jiwe anawakamua kweli.Tanzania hakuna ufisadi hayo mambo yapo Kenya tu hizo pesa zimetumika kihalali kabisa.
Unaona hio mumetoa tena 25b ksh kwenye zile zile dam ambazo kulikua na ufisadi wa 21b ksh ๐๐๐๐๐๐๐๐Wapo waliotangulia kukataa lakini ukweli utasimama maana Jiwe anawakamua kweli.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Filter zimekolea vzr ๐๐๐๐๐Ushering in mwaka mpyaView attachment 1098125
Sijauliza chochote nimenukuu maneno ya CAG yenu , mbona yeye hakusema zilinunua ndege ? Eti mnajengewa bullet train? tuusan: ndo ukanitafsirie haya huyu dogo sijamwelewa.Unauliza zilifanya kazi ipi kwani ndege hzo tulienda kuchukua bure na hio modern electric bullet train tunajengewa bure
Picha tamu mpaka unadhani ni filtersFilter zimekolea vzr ๐๐๐๐๐
Niletee maneno ya CAG aliosema kua pesa zimeibiwa ukipata hayo maneno nitag mm nafunga jamii forum ๐๐๐๐Sijauliza chochote nimenukuu maneno ya CAG yenu , mbona yeye hakusema zilinunua ndege ? Eti mnajengewa bullet train? tuusan: ndo ukanitafsirie haya huyu dogo sijamwelewa.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Picha tamu mpaka unadhani ni filters
Ushering in mwaka mpyaView attachment 1098125
Staki ufunge account bro, staki ugive upKama sio filters hzo niko tayari kufunga account jamii forum๐๐๐๐
Unajua kweli kuwakata kilimi limi hawa jamaa. ๐ ๐You should say He was a drug dealer. Mbona unapindisha maneno. Kenya is the only country where drug traffickers becomes leaders
Why are you so thick?Didnโt know Nairobi Got Lake,
What is the name of the Lake?
Ahahaha pole sana ongeza fulter ikolee zaidiStaki ufunge account bro, staki ugive up
Brought to you by SPORTPESAKaribuni sevilla๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐๐๐๐๐๐
Brought to you by SPORTPESA
MArketing strategy. They need to capture TZ market. Kenya wako dominant. Sportpesa na BetinKwanini wasiwapeleke kenya ?? Ushawah jiuliza