Ajabu mtoto wa miaka 6 anachunga ng'ombe katikati ya mji ukishangaa kivipi ng'ombe wanapitishwa lami kama magari, mwingine atashangaa kwanini huyo mtoto hayupo darasani akisoma, hayo ndio maisha ya developed Kenya 😂😂😂
The swimming pool on this building [emoji7], Great View
Sent from my iPhone using JamiiForums
Eeeh bwana eeeh. ..ndio huo utajengwa DODOMA? ?hakika hakuna habari nzuri kama hii kwa hii siku ya leoView attachment 1044838View attachment 1044839View attachment 1044840View attachment 1044841
Walking guest wanachaji pesa ngap ukitaka swimm hapo?View attachment 1044816
View attachment 1044818
View attachment 1044824
Sent from my iPhone using JamiiForums
Safi sana kijana,basi nadhan uko mbeleni tunaweza stahimili afcon kama mwendo ndio huuprobably yes! huo ni mfano wa huo uwanja,, so to a large extent wanaweza kujenga uwanja kama huo
Haha safi...itabidi siku moja tukae mahali tule chakula arifSijaulizia ila ni Open to public nilipita tu ila ntarudi siku nyingine kula bata 🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii kufuru sasa.. kuna MDC ata kiwanja kimoja cha maana hawana! Hiyo torch hapo juu italeta mvuto sana ikiwa ina waka usiku.
Hii sasa ndiyo starehe yanguView attachment 1044816
View attachment 1044818
View attachment 1044824
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yeah.. bei safi sana kwa kuzingatia location yake. Millenium towers wana koma na 15! Wamesha nikosa.