Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vifaranga vilikua vimenunuliwa na mtanzania akaziacha pesa Kenya Kwa hivyo aliepoteza mtaji wake ni mtanzania my friend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndiyo uone watu walivyo serious na kazi zao. Usisahau na wale wachungaji wenu walio hisi Tz ni shamba la bibi walivyo furumushwa na ng'ombe zao kupigwa mnada. Ukweli hao wapokot mnao wapa promo wakijaribu ujinga wao kwa Tz mtarudishiwa majivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Levi ndo engineer wa kwanza pokot county ,Ila sasa kutwa yupo CBD Ku surf WiFi ya bure akifurahia matunda ya kuwa middle income ,Ila kasau ndugu zake uko pokoti[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha the first person from his pokot community to be an engineer.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Hii kdf, kunya drinking force ni jeshi dhaifu na ya Hovyo kabisa, wanashindwa hadi na Pokot?
 
Nimeshangaa saana alivyodai Kenya inapambana na boko haram na ISS hawa wakenya soon watasema ushindi wa Russia na Iran ni wao

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Hawa walishaolewa na waUSA so wanachukulia kila anapokwepo nao wapo thats y USA wanawapa takwimu za kuwavimbisha kichwa. Ni kama riwaya fulani tulikuwa tunaisoma o-level iliyokua inamtaja mhusika kama punda wa kijiji, mpe karoti kila mtu atampanda. Hivyo ndivyo wazungu walichokigundua kwa wakenya, I salute you mzungu na mchina. Na sisi tutapata namna tu ya kumlure mkenya tumpande kiulaini, tumeanza kwa warembo wao tushawajulia
 
Wapo uchumi wa kati alafu kuna sehemu hakuna chakula wala maji ajabu zaidi mpaka nguo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…