Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
That was 2017 this is 2019 my friend, mbona hutumii hata akili ? Ama nenda pale katika chumba cha maarifa upewe kiasi.Sasa hivi chakula kipo Kwa wingi hata mahindi serkali imejaza maghala hadi imekosa mahali pa kupeleka.mjinga umepaniki... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1023393
Kwani Sisi hatunaga wamasai? Wamasai na rungu utalinganisha na wapokoti ambao wana AK-47? Kweli kumwelimisha zuzu ni kibarua.[emoji16][emoji16]na njaa hizi eti waje kupora ng'ombe kwa wasukuma,wamasai na wamng'ati.
Kama smg tutawagawia tu wamasai isiwe tabu.halafu kitakachobaki ni historia ya kabila la wapokoti.
Kwani Sisi hatunaga wamasai? Wamasai na rungu utalinganisha na wapokoti ambao wana AK-47? Kweli kumwelimisha zuzu ni kibarua.
Sent using Jamii Forums mobile app
You want to be spoonfed, right? Do some research you stalker.Nimeuliza alishiriki vipi??naona mauno ya bikini tu hapa!!
We ndio mjinga maana hujielewi, kwani pokoti wameanza leo kuiba ng'ombe kule Uganda? M7 alituma kule karamoja Askari wangapi? Mbona hawakuwazuia? Ama hizo modern technology Uganda itaanza kuitumia kesho? M23 wameshinda M7 ataweza wapokoti? Ilimchukua miaka mingapi kupambana na kony kule northern Uganda , where was that Morden technology? Uganda uliingia Somalia 2007 in the name of restoring peace Mogadishu hadi leo Mogadishu imewashinda, were not it for Kenya Somalia leo haingekua na functional government , Uganda and her proxy's walikua wameshinda, remember pokoti are not based in Uganda neither are they terrorist so M7 has to trade carefully so that his orders does bring bad blood btn these two countries, remember Kenya will not sit and watch her people being killed.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe bila shaka utakuwa ni mpokot.That was 2017 this is 2019 my friend, mbona hutumii hata akili ? Ama nenda pale katika chumba cha maarifa upewe kiasi.Sasa hivi chakula kipo Kwa wingi hata mahindi serkali imejaza maghala hadi imekosa mahali pa kupeleka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Urongo huo,nyie ni weak point ,hawa tu m23 wanawafanya hamlali afu nyie pia mnaongea mbele ya wanaume? Na mngepewa boko haram,ama alshabaab au ISS ambao Kenya inawashughulikia kila siku ,mngejipamba vipi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ni mbali na Jimbo lao pangekuwa karibu wangefika.Waambie wavuke boda ya tz,nako kuna ng'ombe za kutosha.waje tuwafundishe mahari haitolewi kwa kukabidhi ng'ombe za wizi,ila mkia wa simba wenye kuvuja damu.
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe sababu wana AK-47 ndio sababu wanalaza KDF na viatu[emoji23][emoji23].
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usiongee usichokijua kuku wewe,wewe unadhani unaongea na mkora mwezio hapa??
Urongo huo,nyie ni weak point ,hawa tu m23 wanawafanya hamlali afu nyie pia mnaongea mbele ya wanaume? Na mngepewa boko haram,ama alshabaab au ISS ambao Kenya inawashughulikia kila siku ,mngejipamba vipi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe bila shaka utakuwa ni mpokot.
maana unatoa povu lisilo la kawaida kutetea watu wa jamii yako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1023400View attachment 1023401View attachment 1023402
acha tuendelee kum-troll huyu mpokot kilaza. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]buti imekuwa bilauri[emoji1322][emoji3603][emoji1322][emoji3603][emoji38]wakenya wamenishinda tabia[emoji38][emoji38]
US ilikimbia Somalia baada ya kuchapwa na in early 90s wasijipe credit,maharamia wote wamemalizwa na Kenya nowdays hakuna pirates wakuteka nyara meli.Na huyu ni mkenya mwenzako alietoa hii habari:
So, usiongee lolote kutaka kujivunia sifa za kuisaidia somalia kiulinzi. Mabwana zenu wamewadrag mkakaangwe
We need more people like you. Ni suala la maana sana coz uwanja wa kisasa utaifanya TZ kuwa sports hub EA kama Afrika kusini ilivyo na viwanja vya kisasa vingi kule Joburg, Cape town na Port Elizabeth na DurbanView attachment 1023212
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na utalii au kutokana na haya mapato ya utalii. Mniruhusu kushare na nyie.
Ni kwamba kwanin Rais au Bodi ya utalii isitoe hela kidogo ya haya mapato ya utalii kujengea uwanja wa kisasa wa mpira kule Arusha?, na uwanja utakuwa chini yao...na katika uwanja huu wataweka matangazo yao ya utalii wanavyotaka, na zile mechi za kimataifa au kikanda mfano kama hizi za Champions League ziwe zinaelekezwa huko Arusha. Kwenda kucheza huko kitawafanya baadh ya wachezaj au makocha wa timu za nje kuenjoy mandhari ya utalii na hata kuweza kuongeza siku za kukaa ili wandelee kutalii kidogo nchini kweny mbuga zetu... Hayo tu!
I'm a Kenyan and Kenya is my business.wewe bila shaka utakuwa ni mpokot.
maana unatoa povu lisilo la kawaida kutetea watu wa jamii yako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1023400View attachment 1023401View attachment 1023402
US ilikimbia Somalia baada ya kuchapwa na in early 90s wasijipe credit,maharamia wote wamemalizwa na Kenya nowdays hakuna pirates wakuteka nyara meli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na imagine heavenly view ya Mt Meru kama uwanja huu wa Monterrey, MexicoView attachment 1023212
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na utalii au kutokana na haya mapato ya utalii. Mniruhusu kushare na nyie.
Ni kwamba kwanin Rais au Bodi ya utalii isitoe hela kidogo ya haya mapato ya utalii kujengea uwanja wa kisasa wa mpira kule Arusha?, na uwanja utakuwa chini yao...na katika uwanja huu wataweka matangazo yao ya utalii wanavyotaka, na zile mechi za kimataifa au kikanda mfano kama hizi za Champions League ziwe zinaelekezwa huko Arusha. Kwenda kucheza huko kitawafanya baadh ya wachezaj au makocha wa timu za nje kuenjoy mandhari ya utalii na hata kuweza kuongeza siku za kukaa ili wandelee kutalii kidogo nchini kweny mbuga zetu... Hayo tu!
Acha ujinga wewe, bila mabwana zenu msingeenda huko:
sawa mpokot, you are understood.