Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kingereza kigumu eeh? Mtafute translator akusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kenya pekee kiingereza unatafutia mume.huku tz huwezi pata mume.

Huku kwetu ukisema DCI kwa kiingereza chako cha ugoko,huyo ni mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai.

Haya sema alihusikaje na upatikanaji wa Mo DCI wa kenya??
 
akikupa maelezo yenye credible evidence nitag mkuu.

ila sanasana tegemea povu, ujinga na ukilaza uliotukuka kutoka kwake.

what i like about this fool is that he makes our thread very active on the trending list. let's continue to use him.
 
Ni kenya pekee kiingereza unatafutia mume.huku tz huwezi pata mume.

Huku kwetu ukisema DCI kwa kiingereza chako cha ugoko,huyo ni mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai.

Haya sema alihusikaje na upatikanaji wa Mo DCI wa kenya??
Ebo! Dume surwali wakitanzania mtu mwenye akili zake anatafuta afanyie nini? DCI wetu kupitia idara yake ya CID ndio alishughulika ndio MO akapatikana ,kwani mlikua na uwezo wakumpata,ama mngepiga ramli mtumie elimu yenu ya kichawi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeuliza alishiriki vipi??naona mauno ya bikini tu hapa!!
 
Muone alivyo wakenya hamnaga hata aibu kujisifia tena acha kujichukulia credit kwa somalia, hiyo ni kazi ya mabwana zenu:
Somalia ni mojawapo ya nchi tano ambazo zipo chini ya ulinzi wa jeshi la marekani. Au ndio na nyie mshakua wamarekani? Nyie ni vibarua wa marekani pale wanapotaka vimgambo ambavyo maisha yao hayana thamani wanavitumia kama chambo au war shields
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…