Hii nzuriView attachment 960222
Roads in Nairobi Kenya meandering through green trees in Westlands
Vipi hii pesa iko wapi au kwenye tumbo la kenyattaππππππππππUlitaka niweke zote!? We mwehu!? Huo mfano tu. Hata picha sutafuti. Amesema Sahi na nnampa
Eti, Africa's first!? Ikiona ni first na watu hawajawahi kufa ujue kuna mengine. Umeelewa bwana.Baada ya modern and bigest library in africa sasa inakuja hiiiππππππ
Ulisema hiiVipi hii pesa iko wapi au kwenye tumbo la kenyattaππππππππππ
Angalia Tu barabara za kuingia.Vipi hii pesa iko wapi au kwenye tumbo la kenyattaππππππππππ
Note ROLLS ROYCE Moja ni sawa na Probox kama 60 hv[emoji38][emoji38]
UgandaπππSasa sijui majirani watapeleka wapi ndege ππππππ burundi na south sudan wanewakataa sasa na uganda soon wanawakataa somalia wameshindwa new york wamekalia kuti kavuπππ
Endelea kuweka zifike 100πππ
Mko nazo chache sio hundreds kama alivyolia ndugu yako
moi kwa kilimanjaro bado sana budaa yani bado sana nimekwambia kilimanjaro inapokea over 10 direct flights hehehehππππUlisema hii
Ile hainajina ni Ethiopian airlines. Here get a few of the birds at Moi.
View attachment 960253View attachment 960254View attachment 960255View attachment 960256View attachment 960257
Ahahahhaha kwa vile dar hakuna barabara π π π π π π
Ahahahhaha nioneshe ya kenya ukipata nitag munajifanya waerevu sana dunia ya leo haitaki ujanja wakipuuziπππππEti, Africa's first!? Ikiona ni first na watu hawajawahi kufa ujue kuna mengine. Umeelewa bwana.
Na je kama zinaenda uganda na rwanda pia ni zenu????πππππ
πππππ eti hundreds nimecheka sanaEndelea kuweka zifike 100πππ
moi kwa kilimanjaro bado sana budaa yani bado sana nimekwambia kilimanjaro inapokea over 10 direct flights heheheh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]