Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeenda google gud for you. Sie hatuna haja ya kupiga kelele zenu hizo kotaz na mails vitu vya kawaida sana what about roads
Oooh and yes mazee u a good at complaining like this [emoji23][emoji23][emoji23]
majamaa leo nimefanya kazi mara mbili, we are not in good terms na msupa nikaingia pale tinder nikachomoa kunguru juu kukaa na dryspell hapa kijiji ni mbaya. Nimekamua kunguru but in the heat of things kumbe imecum kwa couch maze. Sema kufanya kazi ya kuclean and shit. Am praying my chic doesn't give me a surprise visit maze plus hao inanuka tu perfume za kunguru. Haven't been cheating on her but ako na ka ufala siku hizi after she saw a certain photo ya work mate tulipigwa tukiwa team building. We don't live together but Kesho naita mama wa kufua mara that maze.
 
Total for the 6 floors is over 160 floors ..elewa kingereza kwanza shenzi
 
Vitano tu?hivi mwendokasi mnayo?achieni matatu bana zitawale,jipangeni kwanza
numbisa huyo kilaza asikutushe na hizo picha.

hakuna ambacho hawajawahi kutuonyesha kwenye thread hii. hapo ni kama anarudia tu.kila siku wanarudia kupost appartments, flyovers na malls. hawawezi kutoka nje ya hapo kwasababu hakuna jambo jipya.

picha anazopost tayari walishawahi kuzipost mwaka 2017. anafanya hivyo kwasababu anajua wewe si mwenyeji sana wa thread hii.there is nothing new from them.
 
elezea muktadha ya hio dondoo mamii
 
I'm hearing some goons here talking about dar is slum overtaking Nairobi in 2020, that's a dream that will never come to pass.
 
Niaje Kadada, hii reli yenyu nimefika kilometer ngapi?
 
Nyinyi mshawahi toka kwa hii area ina white kutoka siku ya kwanza
 
Wala usijali maana naona anamwaga picha kenya nzima wakati namuwekea za dar pekee,kapanic balaa,wacha tu wanaipe tour ya bure ndani ya kenya na sio nai pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…